Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Imagine mshahara wa Mwalimu wa Diploma wenye Makato ya mikopo🤣 Halafu mwalimu mwenyewe mgogo mvivuuuu, hana plan B....lazima apagawe.
Kwakweli wagogo wavivu na walalamishi...huyu ni ticha full stop
 
Hakuna mwalimu huyu kwa msimamo wangu na nalijua hili kwakua najua huwa wagumu kujiongeza kibiashara.

Ukiona mwalimu ana million mia tu ujue huyo kastaafu juzi na baada ya wiki mbili utakuta kanunua pikipiki na anaanza ujenzi wa nyumba isiyozidi million ishirini.

Jana Kuna mwalimu kalawiti mtoto wa darasa la tatu chooni, yani unafanya mapenzi kwenye vyoo??

We pamoja na kazi waliyofanya walimu kukufanya ujue cha kuandika bado ni mpumbavu kwa kiwango cha utajiri wa Marekani
 
Hakuna mwalimu huyu kwa msimamo wangu na nalijua hili kwakua najua huwa wagumu kujiongeza kibiashara.

Ukiona mwalimu ana million mia tu ujue huyo kastaafu juzi na baada ya wiki mbili utakuta kanunua pikipiki na anaanza ujenzi wa nyumba isiyozidi million ishirini.

Jana Kuna mwalimu kalawiti mtoto wa darasa la tatu chooni, yani unafanya mapenzi kwenye vyoo??

Mbona unapenda kuwaandama walimu, kama huna kazi ni bora kukaa kimya kwani ukimya ni bora kuliko kujifanya mjizi wa kila kitu ilhali ni boya tu.
 
Mimi ni mgeni nimejiunga muda si mwingi ila nyuzi nyingi naona zimesheheni walimu, ukweli ni kuwa yanayosemwa yote ni yakweli na chanzo cha haya yote ni uoga wa walimu.

Ila yote Kwa yote ipo siku tu watapata haki zao ambazo wanaogopa kudai wasipodai wao tutawasaidia kudai no matter tutakumbana na vikwazo vingapi we are ready lakini Nia yetu nikuona mwalimu anapewa thaman nyingi asidharirike.

Mwalimu apewe standing allowance, walipwe na wao overtime, subsistence allowance, transport allowance, house allowance hata kama sio vyote japo basi kimojawapo tu Tosha. Tupo tayari hata kuuawa, kusemwa vibaya na kutishwa ila hatutaacha kuwatetea walimu wetu wa Tanzania [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom