DOKEZO Walimu Mkoani Mwanza wafanya Mafunzo ya Mtaala Mpya bila Posho

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi wanawachukuliaje hao watumishi?
Nawashauri wawachangishe fedha za masomo ya ziada, huko watapata viposho kdg. Serikalini wasahau
 
Wacha waisome nambaaaa..Hatujisumbui mbele Kwa mbeleeee
 
Watayaona majibu yake
 
Kumbukeni ninyi ndiyo washangiliaji namba moja kwenye ushindi wa kishindo
 
Hivi ndo huo mtaala nasikia watu wanalalamika kuwa Mambo ya baleghe yamepelekwa darasa la nne!
Sasa mwl kuelezea mtoto wa la nne habari za kubaleghe nao hawajafikia watawaelewa kweli!
Na watoto wa sasa hivi wanasoma wakiwa wadogo.

Nafikiri pia wameangalia mabadiliko na mtindo wa maisha wa sasa.

Kasi ya kunjunjana watoto wa siku hizi, vidogo vinaanza kuhenyesha via vya uzazi.
 
aisee kumbe wale waliopewa Afu tatu wana unafuu

cc LIKUD
 
Vpi somo la uchumi/ biashara wameliweka...??

Walimu na policcm ni kimbilio la waliofeli... by roma
 
Poleni Sana walimu, tatizo nyie watu mmefanywa backup ya sere Kali ya njano kwahiyo wanawamudu hata mkilalamika. Mkishavaa Yale matisheti na kofia basi kijani daima
 
mkulima anahudhuria mafunzo lakini anapata posho ila sio mwalimu
Hii nikweli huwa tukienda maonyesho huwa tunalipwa na halimashauri 600k kwa siku zote tutakazo kaa huko tukichuliwa na mgodi ni mara mbili yake hapoa bado chakula na kulala ni wao wanatafuta na usalama juu ukiumwa wao
 
Bora wewe upo kwenye system, madogo wamesafiri kwenda mikoani kufanya interview ya ualimu wanaambiwa kati ya watu 800 wanatakiwa 100
 
Sio mwanza tu nafikiri ni mikoa yote maana hata sie tumetoka juzi tu hakuna cha posho wala nauri Tz elimu sio kipaumbele chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…