Hata msosi ni wakuu wa shule ndo wanatoa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nyie posho yenu ni msosi tu,kulala mtalala kwenye mabweni ya wanafunzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata msosi ni wakuu wa shule ndo wanatoa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nyie posho yenu ni msosi tu,kulala mtalala kwenye mabweni ya wanafunzi.
Ukirudi, muandikie mkuu wa shule barua akulipe. Mbona wao safari zao wanajilipa!!Sio mwanza tu nafikiri ni mikoa yote maana hata sie tumetoka juzi tu hakuna cha posho wala nauri Tz elimu sio kipaumbele chake
HOJA YA KILOFA SANA KUWAHI KUANDIKWA HUMU JF!!!Nchi hii ina zaidi ya walimu 300, 000 msingi na sekondari.
Iyo bajeti ya posho ya staff 300,000 ni zaidi
unadhani itakuwa na shilingi ngapi?
Mwalimu punguza wenge. Kupanga ni kuchagua ulichagua mwenyewe ualimuHOJA YA KILOFA SANA KUWAHI KUANDIKWA HUMU JF!!!
📌SUBIRINI WAALIMU WAENDELEE KUZALISHA BODABODA,WADUDUNA BAIKOKO HAKUNA NAMNA!!!
HUNA AKILI!!!Mwalimu punguza wenge. Kupanga ni kuchagua ulichagua mwenyewe ualimu
Form one huanza na Baseline,ndio wanaanza kufundishwa,mpaka sasa,hawajaanza kusoma masomo ya kawaidaKwahiyo mnafanyia training mtaala mpya huku shule zikiwa Zina mwezi Toka zifunguliwe? Sasa huko shuleni mlikuwa mnawafindisha Nini wanafunzi au Bado hawajaanza kusoma? Kwann hizo training zisingefanywa kabla hamjafungua shule?
Waliochanga ni TAHOSSA mkuuWaalimu walipwe hela za nini wakati wako vizuri? Hao si ndio walichanga hela kumchukulia rais fomu ya kugombea urais?
Ni kauli ya kutolewa na layman na si msomi. Kama uliweza kutoa pesa za elimu bure from primary to advanced level utakuwa unahudumia watu kiasi gani? Iweje kwa watumishi 300,000 ndo iwe kubwa kwa issue inayotokea mara 1 baada ya miaka?? Na bado si walimu wote wanaohusika na hayo mafunzo ni wale watakaofundisha kidato cha kwanza tuNchi hii ina zaidi ya walimu 300, 000 msingi na sekondari.
Iyo bajeti ya posho ya staff 300,000 ni zaidi
unadhani itakuwa na shilingi ngapi?
Ni wasomi wapi mliwahi kuiwajibisha serikali kipindi hamjalipwa kile mnachostahili?Mmeshindwa nini kuwawajibisha.
Mmesoma kama vile hamjaenda shule. Wapumbavu sana
Tatizo lenu walimu mnauoga sana kingine uchawa na njaa zinawasumbua.
Wewe mwenye akili ulisaini 3000 per dayHUNA AKILI!!!