Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Leo nimeamka na ninyi waalimu hakika haipendezi kabisa na sio sawa.

Ni mara kadhaa sasa hii tabia baadhi yenu(walimu) huwa tukituma hela za matumizi kwa watoto/wadogo zetu mnawakata hela zao.

Mfano kuna dogo yupo advance shule X juzi nilimtumia mwalimu wake hela cha ajabu kwenye ile hela niliyotuma akakata 5000! Pamoja na kwamba yakutolea huwa natuma.

Mwingine alikata sh12,000/= kisha akamwambia dogo kuwa atamrudishia na hakumpa.

Jambo hili wazazi/walezi wengi wamekuwa wakilalamika. Ajabu kubwa kuna baadhi hadi huwadhurumu wadogo zetu.

Kuna mtoto wa Bro nilimuahidi akifanya vizuri kwenye mitihani yake nitampa zawadi ya 100k na kweli akabukua nikamtumia mwalimu wake 110,000/= huwezi amini alimkopa 40k na haikurudi ikabidi dogo animbie lakini bado akawa na hofu kuwa iwapo nitamdai mwalimu wake wataleta ugomvi!!

Nimewaambia hii tabia kwangu hainipendezi kabisa na sio sawa hata kama ukikata buku1 kwangu sio sawa kabisa.

Nina imani iwapo ukiniomba kama ninayo naweza nikakupa tu hiyo 5000 mnayoikata kwa madogo asee.

Acheno mara moja hizo ni Tamaa.
FB_IMG_1743756954341.jpg
 
Walimu wana njaa kali.kunajirani wangu alikuwa ananikopa Hadi chumvi nikampiga marufuku.walimu wajinga sana ndiyo maana watanzania wengi haziwasaidii elimu zao maana wanafundishwa na wahuni wanajiita walimu
 
Acheno mara moja hizo ni Tamaa.View attachment 3317006
Unatuma pesa kwa mwalimu. Wakala yupo mbali vocha zake anazotumia mwanao akiongea na wewe umemtejeshea..? Tulia wewe
 
Hao walimu wameendekeza njaa tena kama ulimwambia na bado hakomi basi ilibidi utaje jina lake na shule hiyo

Tukirudi upande wa pili, kama wadau walivyoshauri hapo kuna kumfungulia akaunti mwanafunzi, kuna kuwatumia mawakala nk. Mambo ya kutuma hela kwa mwalimu ni ya kizamani

Hii ya wakala nimeipenda dogo anaenda kwa wakala anaomba simu anakupigia unaweka mzigo anasepa
 
Mnaosema afungue akaunti , ataruhusiwa kutoka nje kwenda kutoa pesa?
Mtoa mada amekosea wapi mpk mumshutumu?acheni utoto na ujinga ,hizo ni njaa na kujidhalilisha tu Kwa hao walimu,wanatia kinyaa na aibu tupu..Mzazi akupe mwenyewe pesa yake,unajiskiaje kumkopa mwananfunzi kwanza pesa?
Hao walimu wajinga wajinga ndo wanafanya wote tuonekane walimu wote madhalili,kama vipi taja hizo shule bwana wee
 
Mnaosema afungue akaunti , ataruhusiwa kutoka nje kwenda kutoa pesa?
Mtoa amekosea wapi mpk mumshutumu?acheni utoto na ujinga ,hizo ni njaa na kujidhalilisha tu Kwa hao walimu,wanatia kinyaa na aibu tupu..Mzazi akupe mwenyewe pesa yake,unajiskiaje kumkopa mwananfunzi kwanza pesa?
Hao walimu wajinga wajinga ndo wanafanya wote tuonekane walimu wote madhalili,kama vipi taja hizo shule bwana wee
Hongera sana mwalimu wa mwanangu 👊
 
Walimu wana njaa kali.kunajirani wangu alikuwa ananikopa Hadi chumvi nikampiga marufuku.walimu wajinga sana ndiyo maana watanzania wengi haziwasaidii elimu zao maana wanafundishwa na wahuni wanajiita walimu
We nae mpuuzi tu we si usiseme umeishia la tatu ukaacha shule mpuuzi wewe,Kwa ujinga wako!!!elimu hazisaidii wapii...ya kwako ndo haijakusaidia Kwa kua ni mjinga mjinga kua na kiduka unaona umeyapatia maisha!!!
Unadhani ila mwl ana hizo characters za huyo mmoja?!!!
Kila sekta ina watu wana mapungufu yao,tuijfunze kujadili hoja Kwa tahadhar
Hao TRA wangekua wana hela wangekula rushwa?au Kwa kua wao hawaibi Kwa wanafunzi km mwl?
 
Back
Top Bottom