Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

Shule siwezi taja mkuu. Ila ikilazimika nitataja hadi no zao za simu hapa hapa maana ninazo.

Ulichosema ni sahihi ruhusa huwa ni ngumu sana eti mwanafunzi apewe ruhusa akotea hela mtaani hiyo ni shule gani kwanza?

Nilikuwa namtumia muuza duka ila badae wakamfukuza wala sikuwa na shida hiyo ya dogo kukatwa hela yake.
Hao wanaobisha hawajakutana na hii kadhia, mimi nilimtumia mdgo wangu pesa laki moja na pesa ya makato, siku nakuja kuongea na dogo amepewa elfu 90
 
Ndio mimi ni njaa kali je hela ndo ikatwe?

Sikia mwalimu wewe hiyo buku5 huwezi jengea sana sana utanunua matembele na kondomu tu
pambafu! jiwekeze kwa mtoto wako

mfungulie bank account, by the way unasafari ndefu sana kujitafuta kama bado unalialia kwa mtu anaekusaidia kujilipa 5000.. ningekuwa mimi ningepiga pesa yote
 
Napingana na wewe mtoto hapaswi kubweteka ni lazima siku nyingine matroni amwambie hela yake imeisha.Hili swali la walimu kutafuna hela za wanafunzi ni kubwa na hii inatokana na mifumo mibovu ya shule.Wakati ule kwenye shule za seminari kwanza hakukuwepo huo utaratibu mwanafunzi alikuwa anaruhusiwa kiasi kidogo sana cha pesa cha kununulia labda peni,karamu na siku wakitoka labda kununua hata muwa.Hii ilijenga nidhamu ya wanafunzi wa seminari na wengi wao hawakufeli maisha.
Shule za kata hizo,, apambane asomeshe mtoto shule za maana
Hakuna issue kama hizi eti pocket money
 
pambafu! jiwekeze kwa mtoto wako

mfungulie bank account, by the way unasafari ndefu sana kujitafuta kama bado unalialia kwa mtu anaekusaidia kujilipa 5000.. ningekuwa mimi ningepiga pesa yote
Hela yote nakuja kukufilimba mbele ya mkuu wako na mbele ya wanafunzi wako. Ili ujue uchugu wa hela inavyotafutwa.
Wewe nina uhakika huna marinda kama yapo tuma picha hapa tuhakiki.Mbwa wewe
 
Hela yote nakuja kukufilimba mbele ya mkuu wako na mbele ya wanafunzi wako. Ili ujue uchugu wa hela inavyotafutwa.
Wewe nina uhakika huna marinda kama yapo tuma picha hapa tuhakiki.Mbwa wewe
kuuma la mamako, umezoea kutombwa si ndivyo... kumma kibuyu wewe in mange's voice
 
Ubarikiwe Kwa kutusanua, ila kiukweli mimi nutaendelea tu kuwakata maana hali yangu ni mbaya. Haiwezekani mzazi unamtumia mwanafunzi hela ya matumizi elfu 50, laki wakati matumizi yake Kwa mwezi yanapaswa kuwa chini ya elfu 30. Mnawalea vibaya watoto wenu. Mwanafunzi anapaswa wakati mwingine akose PESA ya matumizi ndio ataona uchungu na atasoma Kwa bidii. Ukitaka nisikate Tenga kabisa na kiasi flan cha mwalimu kuokota😁😁
 
Leo nimeamka na ninyi waalimu hakika haipendezi kabisa na sio sawa.

Ni mara kadhaa sasa hii tabia baadhi yenu(walimu) huwa tukituma hela za matumizi kwa watoto/wadogo zetu mnawakata hela zao.

Mfano kuna dogo yupo advance shule X juzi nilimtumia mwalimu wake hela cha ajabu kwenye ile hela niliyotuma akakata 5000! Pamoja na kwamba yakutolea huwa natuma.

Mwingine alikata sh12,000/= kisha akamwambia dogo kuwa atamrudishia na hakumpa.

Jambo hili wazazi/walezi wengi wamekuwa wakilalamika. Ajabu kubwa kuna baadhi hadi huwadhurumu wadogo zetu.

Kuna mtoto wa Bro nilimuahidi akifanya vizuri kwenye mitihani yake nitampa zawadi ya 100k na kweli akabukua nikamtumia mwalimu wake 110,000/= huwezi amini alimkopa 40k na haikurudi ikabidi dogo animbie lakini bado akawa na hofu kuwa iwapo nitamdai mwalimu wake wataleta ugomvi!!

Nimewaambia hii tabia kwangu hainipendezi kabisa na sio sawa hata kama ukikata buku1 kwangu sio sawa kabisa.

Nina imani iwapo ukiniomba kama ninayo naweza nikakupa tu hiyo 5000 mnayoikata kwa madogo asee.

Acheno mara moja hizo ni Tamaa.View attachment 3317006
Tatizo ni ccm
 
Back
Top Bottom