Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #41
Aisee sio poa kabisa...wala sio kawaida mfano dogo umemuahidi nakutumia 20k hapo unatuma na yakutolea bado dogo anakuja kukuambia alipewa 15k hapo zimepita siku au wikiTatizo mkuu mama Samiyya hajatuongeza ela
Unaumia mwalimu wamwanao Kula hela😂😂😂😂😂😂