Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
FactAcha kulalamika,mfungulie mwanao acc muwekee huko pesa,kwani mwl alikuomba utume pesa kupitia namba yake?
Unatuma pesa kwa mwalimu. Wakala yupo mbali vocha zake anazotumia mwanao akiongea na wewe umemtejeshea..? Tulia weweLeo nimeamka na ninyi waalimu hakika haipendezi kabisa na sio sawa.
Ni mara kadhaa sasa hii tabia baadhi yenu(walimu) huwa tukituma hela za matumizi kwa watoto/wadogo zetu mnawakata hela zao.
Mfano kuna dogo yupo advance shule X juzi nilimtumia mwalimu wake hela cha ajabu kwenye ile hela niliyotuma akakata 5000! Pamoja na kwamba yakutolea huwa natuma.
Mwingine alikata sh12,000/= kisha akamwambia dogo kuwa atamrudishia na hakumpa.
Jambo hili wazazi/walezi wengi wamekuwa wakilalamika. Ajabu kubwa kuna baadhi hadi huwadhurumu wadogo zetu.
Kuna mtoto wa Bro nilimuahidi akifanya vizuri kwenye mitihani yake nitampa zawadi ya 100k na kweli akabukua nikamtumia mwalimu wake 110,000/= huwezi amini alimkopa 40k na haikurudi ikabidi dogo animbie lakini bado akawa na hofu kuwa iwapo nitamdai mwalimu wake wataleta ugomvi!!
Nimewaambia hii tabia kwangu hainipendezi kabisa na sio sawa hata kama ukikata buku1 kwangu sio sawa kabisa.
Nina imani iwapo ukiniomba kama ninayo naweza nikakupa tu hiyo 5000 mnayoikata kwa madogo asee.
Acheno mara moja hizo ni Tamaa.View attachment 3317006
Wewe mwenyewe unaonyesha una njaa hivi uliona wapi mtu tajiri anakopwa chumvi ?Walimu wana njaa kali.kunajirani wangu alikuwa ananikopa Hadi chumvi nikampiga marufuku.walimu wajinga sana ndiyo maana watanzania wengi haziwasaidii elimu zao maana wanafundishwa na wahuni wanajiita walimu
Ila wewe!!πππ bonge la zwazwa!Walimu wana njaa kali.kunajirani wangu alikuwa ananikopa Hadi chumvi nikampiga marufuku.walimu wajinga sana ndiyo maana watanzania wengi haziwasaidii elimu zao maana wanafundishwa na wahuni wanajiita walimu
Hongera sana mwalimu wa mwanangu πMnaosema afungue akaunti , ataruhusiwa kutoka nje kwenda kutoa pesa?
Mtoa amekosea wapi mpk mumshutumu?acheni utoto na ujinga ,hizo ni njaa na kujidhalilisha tu Kwa hao walimu,wanatia kinyaa na aibu tupu..Mzazi akupe mwenyewe pesa yake,unajiskiaje kumkopa mwananfunzi kwanza pesa?
Hao walimu wajinga wajinga ndo wanafanya wote tuonekane walimu wote madhalili,kama vipi taja hizo shule bwana wee
Et kaazimwa chumvi uliona matajiri lini wakiazimwa chumvi na apeche alolo π€Ila wewe!!πππ bonge la zwazwa!
We nae mpuuzi tu we si usiseme umeishia la tatu ukaacha shule mpuuzi wewe,Kwa ujinga wako!!!elimu hazisaidii wapii...ya kwako ndo haijakusaidia Kwa kua ni mjinga mjinga kua na kiduka unaona umeyapatia maisha!!!Walimu wana njaa kali.kunajirani wangu alikuwa ananikopa Hadi chumvi nikampiga marufuku.walimu wajinga sana ndiyo maana watanzania wengi haziwasaidii elimu zao maana wanafundishwa na wahuni wanajiita walimu