Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

Tukubali tu africa tu tuna uchumi wa 5% ambao dunia imetuachia tuugombanie , ndio maana mtu akiwa na kijinyumba na kijigari anaona ametoboa na kuwadharau wengine wanaoangaika kugombea kiduchu kilichobakia.


Mfano, waweke mbwa wanaopendana mno na njaa siku tatu halafu wafungulie uwape chakula kiduchu uone mziki wake.
 
Makato ya Mtandao
 
Yaani anajiona sijui tuna shiga gani aseehh
Mungu atusaidie
 
Walimu wana njaa kali.kunajirani wangu alikuwa ananikopa Hadi chumvi nikampiga marufuku.walimu wajinga sana ndiyo maana watanzania wengi haziwasaidii elimu zao maana wanafundishwa na wahuni wanajiita walimu
Inaonekana u hohe have huna lolote zaidi ya kuishi kwa dada yako unasubiri mpka shem wako ampige mshedede dada yako ndio upate pesa ya bando. 😁😁
 
Ila huu uzi walimu wajinga wajinga wametoa sana povu, jirekebisheni acheni ujinga. Unadai mtoto afunguliwe acount, je ataruhusiwa kutoka shule kila mara kwenda kutoa hizo hela kila akihitaji? Na je kipi rahisi na salama, mtoto kutoka nje ya mazingira kwenda mtaani kutoa hela au mwalimu kusaidia? Mlipaswa kuwa walezi wa hao watoto na sio opps.
 
Kama wewe ni mwalimu basi una waambukiza ujinga wanafunzi maana kuandika tu hujui.nimeona Kuna makosa mengi tu ya kiuandishi.walimu wajinga sana
 
Inaonekana u hohe have huna lolote zaidi ya kuishi kwa dada yako unasubiri mpka shem wako ampige mshedede dada yako ndio upate pesa ya bando. 😁😁
Kuandika tu hujui Sasa mjinga ni nani?hujui matumizi ya kituo yaani hujui kuandika Kwa ufasaha.wewe mwalimu ni jinga kabisa
 
Ni kweli pia.
 
Tafuta wakala wa mtaani uwe unamtumia hizo feza sisi waalimu ni kama Polisisiem tuu njaa kalii na mikopo umiza inatuuua huku tunaona!!!
Umeme vyema mwalimu. Lakini bado sio solution la tatizo je mtoto ataruhusiwa kwenda kutoa hela ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…