Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
-
- #41
Aisee sio poa kabisa...wala sio kawaida mfano dogo umemuahidi nakutumia 20k hapo unatuma na yakutolea bado dogo anakuja kukuambia alipewa 15k hapo zimepita siku au wikiTatizo mkuu mama Samiyya hajatuongeza ela
Unaumia mwalimu wamwanao Kula helaππππππ
Siyo sababu ina maana hapo huwa natuma mimi? Acheni kutetea ujinga na upumbavu imagine huyo mwalimu akikata 5000 kwa wanafunzi 100 wiki nzima je atakuwa na sh ngapi? Kwa mwezi? Kuongea na mwanangu ndo niwe nalipia5000?Unatuma pesa kwa mwalimu. Wakala yupo mbali vocha zake anazotumia mwanao akiongea na wewe umemtejeshea..? Tulia wewe
Mkuu hawatoi ruhusa tena wanampa simu yao wenyewe apige wana amru mwambie atume kwa no hiyo jina fln kisha nitaenda kukutolea na kuletea hela yako.Hao walimu wameendekeza njaa tena kama ulimwambia na bado hakomi basi ilibidi utaje jina lake na shule hiyo
Tukirudi upande wa pili, kama wadau walivyoshauri hapo kuna kumfungulia akaunti mwanafunzi, kuna kuwatumia mawakala nk. Mambo ya kutuma hela kwa mwalimu ni ya kizamani
Hii ya wakala nimeipenda dogo anaenda kwa wakala anaomba simu anakupigia unaweka mzigo anasepa
Tatizo ni ku spread your njaa huyo mkopwa chumvi ka hold njaa yake walimu wana spread njaa zao. Kuna tofauti ya kuwa na ukimwi na kueneza ukimwiWewe mwenyewe unaonyesha una njaa hivi uliona wapi mtu tajiri anakopwa chumvi ?
Shule siwezi taja mkuu. Ila ikilazimika nitataja hadi no zao za simu hapa hapa maana ninazo.Mnaosema afungue akaunti , ataruhusiwa kutoka nje kwenda kutoa pesa?
Mtoa mada amekosea wapi mpk mumshutumu?acheni utoto na ujinga ,hizo ni njaa na kujidhalilisha tu Kwa hao walimu,wanatia kinyaa na aibu tupu..Mzazi akupe mwenyewe pesa yake,unajiskiaje kumkopa mwananfunzi kwanza pesa?
Hao walimu wajinga wajinga ndo wanafanya wote tuonekane walimu wote madhalili,kama vipi taja hizo shule bwana wee
Mkuu uko sahihi si kila mwalimu anatabia hiyo na mimi sijaliweka in general ila baadhi yao wanakera sana.Kila sekta ina watu wana mapungufu yao,tuijfunze kujadili hoja Kwa tahadhar
Hao TRA wangekua wana hela wangekula rushwa?au Kwa kua wao hawaibi Kwa wanafunzi km mwl?
Mkuu huwa nikizamilia kuwa natuma 30k basi huwa naweka na kutolea ambayo ni 3000 au hata5000Makato ya Mtandao
Hapana mkuu sijataka kuwateja ila wajue na kuelewa ipo siku nitawaja na majina yao yote pamoja na shule zaoEmbu wataje na shule wanazotoka na namba ulizotuma .
Ujumbe makini sana huu. Shida wanadhani wakitukana na kutoa povu kitabadilika kitu tunachohitaji ni kuacha kuchukua hela za watoto kila mtu anapenda hela ila tuna mipaka.Ila huu uzi walimu wajinga wajinga wametoa sana povu, jirekebisheni acheni ujinga. Unadai mtoto afunguliwe acount, je ataruhusiwa kutoka shule kila mara kwenda kutoa hizo hela kila akihitaji? Na je kipi rahisi na salama, mtoto kutoka nje ya mazingira kwenda mtaani kutoa hela au mwalimu kusaidia? Mlipaswa kuwa walezi wa hao watoto na sio opps.
ππ cha msingi hapo wote wana ukimwi tu na siku moja wote watakufa tuTatizo ni ku spread your njaa huyo mkopwa chumvi ka hold njaa yake walimu wana spread njaa zao. Kuna tofauti ya kuwa na ukimwi na kueneza ukimwi
Hatuongelei kufa hata majambazi wanahukumiwa kufa... aina maana wasio majambazi awafi....hapa tuna ongelea haki njaa yako au magonjwa yako au uongozi wako au taabu zako zisiwe sababu ya kutaabisha haki za wengineππ cha msingi hapo wote wana ukimwi tu na siku moja wote watakufa tu
Ndio mkuu utofauti ni huyu alikuomba na mwingine katumia mgongo wa aliyeoomba au ka take advant kwa sababu ana simuKwaiyo unawatumia wote wawili, mwanao na mwalimu
Pole mwalimu Kwa kuchukia.Muda mwingine usichukulie Jambo kama la ukweli 100% humu jamii forum.Muda mwingine tunaandika utaniWe nae mpuuzi tu we si usiseme umeishia la tatu ukaacha shule mpuuzi wewe,Kwa ujinga wako!!!elimu hazisaidii wapii...ya kwako ndo haijakusaidia Kwa kua ni mjinga mjinga kua na kiduka unaona umeyapatia maisha!!!
Unadhani ila mwl ana hizo characters za huyo mmoja?!!!
Kila sekta ina watu wana mapungufu yao,tuijfunze kujadili hoja Kwa tahadhar
Hao TRA wangekua wana hela wangekula rushwa?au Kwa kua wao hawaibi Kwa wanafunzi km mwl?
Kitu usichokijua njaa huwa inatabia ya kuambukiza utake usitake , ndio maana unaona wasio na njaa huwa wana maeneo yao ya kipekee ya kushi ili wasiambukizwe ugonjwa wa njaa. Kwa Tanzania kuna ostarbey mbweni na nk .Hatuongelei kufa hata majambazi wanahukumiwa kufa... aina maana wasio majambazi awafi....hapa tuna ongelea haki njaa yako au magonjwa yako au uongozi wako au taabu zako zisiwe sababu ya kutaabisha haki za wengine
Kuwa na njaa siyo kosa wala dhambi tatizo ni kutumia njaa yako kukiuka haki ya wengine (kufanya dhuruma)Kitu usichokijua njaa huwa inatabia ya kuambukiza utake usitake , ndio maana unaona wasio na njaa huwa wana maeneo yao ya kipekee ya kushi ili wasiambukizwe ugonjwa wa njaa. Kwa Tanzania kuna ostarbey mbweni na nk .
Unajiona wewe hauna njaa na unataka usiambukizwe njaa tafuta watu wa aina yako mjiweke karantini.
Napingana na wewe mtoto hapaswi kubweteka ni lazima siku nyingine matroni amwambie hela yake imeisha.Hili swala la walimu kutafuna hela za wanafunzi ni kubwa na hii inatokana na mifumo mibovu ya shule.Wakati ule kwenye shule za seminari kwanza hakukuwepo huo utaratibu mwanafunzi alikuwa anaruhusiwa kiasi kidogo sana cha pesa cha kununulia labda peni,karamu na siku wakitoka labda kununua hata muwa.Hii ilijenga nidhamu ya wanafunzi wa seminari na wengi wao hawakufeli maisha.we mwenyewe njaa kali,, kama unaona walimu wanakata hako ka efu 5 mpatie mwanao pesa ya kumtosha