Walimu msipojirekebisha tutawatenga

Walimu msipojirekebisha tutawatenga

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Ifike pahala mjitambue vinginevyo maisha yangu yote sitaki kuwaona mnakuja nyumban kwangu kuomba niwakopeshe, nimewaonya vyakutosha sasa nyie naona hamskii mpaka mambo yenu yanaongelewa vibaya na wananchi

Achana na mambo yakuchapa hovyo wanafunzi Kwa stress zenu, acha kukopa kopa ovyo madeni sio mazuri, halafu manguo ya panga Boi yamekuwa outdated vaeni nguo nzuri. Pendezeni, fanyeni biashara nje ya ualimu

Kuweni wapambanaji smart, msiburutwe ovyo tu kila agizo mnapokea. Ikitokea Kuna haki inaminywa kuweni mstari wa mbele kudai ikiwezekana unapokonya kabisa maana haki haiombwi, hata hivyo acheni usengenyaji na unafiki makazini aduni ni nyie Kwa nyie yani unakuta jalimu unalitetea halafu linakuchukia
Screenshot_20230228-035310.jpg
Screenshot_20230228-032930.jpg
Screenshot_20230228-033035.jpg
 
Ndugu Mpwayungu, kwa kuweka kando udhaifu wako katika maeneo mengine, hakika umezungumza ukweli halisi.
Kwenye kudai haki, walimu wanatakiwa kuweka kando tofauti zao na kusimama pamoja.
Tumaini la walimu kukuelewa ni ndogo sana, hawa watu jamani sijui walinyweshwa nini duuuuh [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Adui mkubwa wa Mwalimu ni Mwalimu mwenyewe
Makatibu wa Elimu walikua walimu
Wakurugenzi wa Idara za Elimu walikua walimu
Viongozi kadhaa wa ngazi za juu walikua walimu
Sasa tunafanyaje?
Kikubwa ni kusema potelea pote, ni walimu wenyewe kurisk kazi zao Kwa kufanya vuguvugu Zito la maandamano, kugoma kufundisha kabisa mpaka maslahi Yao yatakaposikilizwa
 
Mkuu mpwayungu village kwenye uzi wako wa kwenda lindi, ulionyesha wewe ni mwalimu na ulitafuta ajira!!

Nashangaa unavyokuja kuwaponda ndugu zako katika taaluma[emoji848][emoji848], au ni baada ya kukosa ajira ??
Bro Analyse kijana kaanza
Acha utani basi, siku wakikugongea mlango saa Sita usiku ukiwa six by six na mke wako ili wakuombe Unga tu wauji watoto wanywe utakuja kufuta hii post
 
Tunaomba radhi kwa wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital yetu ya crazy for life.

Ndugu mpwayungu village alifanikiwa kutoroka jana hospital na Sasa anaropoka hovyo tu.

Tunashukuru kwa ushirikano wenu na tunaahidi tutalifanyia kazi swala hili hivyo mvumilieni.

Nina ambatanisha ushahidi wa vyeti vya kimataifa alivyovipata kutoka hospital ya crazy for life
FB_IMG_16664248584906725.jpg
 
Mkuu mpwayungu village kwenye uzi wako wa kwenda lindi, ulionyesha wewe ni mwalimu na ulitafuta ajira!!

Nashangaa unavyokuja kuwaponda ndugu zako katika taaluma🤔🤔, au ni baada ya kukosa ajira ??
Bro Analyse kijana kaanza
Kwani Mpwayungu naye alisotea kupata ualimu akakosa? au ndo maana anatoa sana povu kwa walimu...
 
Back
Top Bottom