Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Ifike pahala mjitambue vinginevyo maisha yangu yote sitaki kuwaona mnakuja nyumban kwangu kuomba niwakopeshe, nimewaonya vyakutosha sasa nyie naona hamskii mpaka mambo yenu yanaongelewa vibaya na wananchi
Achana na mambo yakuchapa hovyo wanafunzi Kwa stress zenu, acha kukopa kopa ovyo madeni sio mazuri, halafu manguo ya panga Boi yamekuwa outdated vaeni nguo nzuri. Pendezeni, fanyeni biashara nje ya ualimu
Kuweni wapambanaji smart, msiburutwe ovyo tu kila agizo mnapokea. Ikitokea Kuna haki inaminywa kuweni mstari wa mbele kudai ikiwezekana unapokonya kabisa maana haki haiombwi, hata hivyo acheni usengenyaji na unafiki makazini aduni ni nyie Kwa nyie yani unakuta jalimu unalitetea halafu linakuchukia