Hhhahaha eti kataa ualimu sio kaziHayo maswala ya kukabithi kadi ni matakwa yao binafs kutokn na shida zao nazan kikubw kwa walimu ni kuwa wengi kama CCM wazur weng wabaya wengi
Walimu wanakosa posho au allowance tuu lakn mishahara ya tamisem haipshan sana
Maish ya watumish wa HALMASHAURI n hoi kwa kiwango kikubw sem ndio walimu n wengi wanaonekn n tatzo
#kataaUalimu sio kaz
Ona ulivyo chiziKwahyo unataka wanetu wasisome sio!
Akil zapo hazipo sawaMtoa post naye ni mwalimu[emoji1787][emoji1787]
Achana naoUzi wako wa kwenda lindi, na kule kwenye thread ya kutafuta ajira kada ya walimu . Kilikua kinakuliza kipii
Kwani ukiwa mwalimu Kuna shida yoyote🤣🤣 🤣.. inaonyesha unakopa Sana mkuuAkil zapo hazipo sawa
Mimi sio mwalimu kuwa mwalimu ni shida sanaKwani ukiwa mwalimu Kuna shida yoyote[emoji1787][emoji1787] [emoji1787].. inaonyesha unakopa Sana mkuu
They Wil Never.Ndugu Mpwayungu, kwa kuweka kando udhaifu wako katika maeneo mengine, hakika umezungumza ukweli halisi.
Kwenye kudai haki, walimu wanatakiwa kuweka kando tofauti zao na kusimama pamoja.
Yah! Upo sahihi, tatizo ni tamaa ya kufanya Mambo makubwa wakati salary...Mimi sio mwalimu kuwa mwalimu ni shida sana
They will never due to their poor mindset and absolute poverty of their familiesThey Wil Never.
Naona mwanangu leo umewawekea na ushahidi juu,waje wabishe sasa
Ova
ID nyingine ya mpwayunguNdugu Mpwayungu, kwa kuweka kando udhaifu wako katika maeneo mengine, hakika umezungumza ukweli halisi.
Kwenye kudai haki, walimu wanatakiwa kuweka kando tofauti zao na kusimama pamoja.
Hakuna mwalimu ataenda kukopa kwa Huyo bwege ,akiwa na shida ya elfu10 anaanzisha Uzi kukopa humu.....Mwanetu anawapiga spana walimu hadi watatii maagizo, lakini walimu waoga sana na hawajiamini
Mindset tu... family matters kila mtu ana yake ila hawezi acha kupambana.They will never due to their poor mindset and absolute poverty of their families
Yaani we mwalimu Leo umeandika vitu vya msingi sana. Walimu wakifanya hayo uliyoandika nitamwandikisha shule mwanangu nilipanga asisome niwe namfundisha mwenyewe nyumbani na kumuandaa kurithi kazi ninayoifanya awe na ujuzi mkubwa zaidi yangu.Ifike pahala mjitambue vinginevyo maisha yangu yote sitaki kuwaona mnakuja nyumban kwangu kuomba niwakopeshe, nimewaonya vyakutosha sasa nyie naona hamskii mpaka mambo yenu yanaongelewa vibaya na wananchi
Achana na mambo yakuchapa hovyo wanafunzi Kwa stress zenu, acha kukopa kopa ovyo madeni sio mazuri, halafu manguo ya panga Boi yamekuwa outdated vaeni nguo nzuri. Pendezeni, fanyeni biashara nje ya ualimu
Kuweni wapambanaji smart, msiburutwe ovyo tu kila agizo mnapokea. Ikitokea Kuna haki inaminywa kuweni mstari wa mbele kudai ikiwezekana unapokonya kabisa maana haki haiombwi, hata hivyo acheni usengenyaji na unafiki makazini aduni ni nyie Kwa nyie yani unakuta jalimu unalitetea halafu linakuchukia View attachment 2532374View attachment 2532375View attachment 2532376
Walimu wana njaa kali sana hawatakaa waanze kuandamanaKikubwa ni kusema potelea pote, ni walimu wenyewe kurisk kazi zao Kwa kufanya vuguvugu Zito la maandamano, kugoma kufundisha kabisa mpaka maslahi Yao yatakaposikilizwa
Uhuuhuhuhu mkuu utashindia ukoko mwanzo mwishoNatafuta mwalimu nimuoe Kama kweli anakopa had anabaki na elfu 70 kwa mwezi na maisha yanaenda atanifaa sana katika ku save pesa
Ngoja tuoneWalimu wana njaa kali sana hawatakaa waanze kuandamana