Walimu msipojirekebisha tutawatenga

Walimu msipojirekebisha tutawatenga

Hayo maswala ya kukabithi kadi ni matakwa yao binafs kutokn na shida zao nazan kikubw kwa walimu ni kuwa wengi kama CCM wazur weng wabaya wengi

Walimu wanakosa posho au allowance tuu lakn mishahara ya tamisem haipshan sana

Maish ya watumish wa HALMASHAURI n hoi kwa kiwango kikubw sem ndio walimu n wengi wanaonekn n tatzo

#kataaUalimu sio kaz
 
Hhhahaha eti kataa ualimu sio kazi
 
Ifike pahala mjitambue vinginevyo maisha yangu yote sitaki kuwaona mnakuja nyumban kwangu kuomba niwakopeshe, nimewaonya vyakutosha sasa nyie naona hamskii mpaka mambo yenu yanaongelewa vibaya na wananchi

Achana na mambo yakuchapa hovyo wanafunzi Kwa stress zenu, acha kukopa kopa ovyo madeni sio mazuri, halafu manguo ya panga Boi yamekuwa outdated vaeni nguo nzuri. Pendezeni, fanyeni biashara nje ya ualimu

Kuweni wapambanaji smart, msiburutwe ovyo tu kila agizo mnapokea. Ikitokea Kuna haki inaminywa kuweni mstari wa mbele kudai ikiwezekana unapokonya kabisa maana haki haiombwi, hata hivyo acheni usengenyaji na unafiki makazini aduni ni nyie Kwa nyie yani unakuta jalimu unalitetea halafu linakuchukia View attachment 2532374View attachment 2532375View attachment 2532376
Yaani we mwalimu Leo umeandika vitu vya msingi sana. Walimu wakifanya hayo uliyoandika nitamwandikisha shule mwanangu nilipanga asisome niwe namfundisha mwenyewe nyumbani na kumuandaa kurithi kazi ninayoifanya awe na ujuzi mkubwa zaidi yangu.
 
Back
Top Bottom