Walimu msipojirekebisha tutawatenga

Walimu ndiyo kada inayotapeliwa kirahisi sana nchi hii kuliko kada nyingine yoyote.

No wonder watoto wetu wanazidi kuwa wapuuzi licha kubeba degree.
Katika hili nitakataa. Kama ni hiyo mikopo yenye riba kubwa, mpaka askari polisi nao wanaumia. Wamama wa mitaani ndiyo wanateseka mpaka wanatia huruma. Maana marejesho ni kila siku.

Imagine wanakopeshwa laki 1, halafu kila siku wanatakiwa kulipa marejesho ya shilingi 4000-4500! Ni vile tu walimu wana damu ya kunguni kwa baadhi ya watu.
 
Umeongea Kwa uchungu sana
 
Sio kweli, walimu ndowananyonywa shida walimu wamezubaa sana
 
Acha ubishi
 
We hukopi
 
Huyu jamaa wamemwachia why wasingemuwasha ban ya maisha au katengeneza id ingine
 
Ha
Nadhani walimu wachache waliokufundisha brother ila sio wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…