cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mashoga gan wanadharau Walimu?? MmmhHivi kwanini kila mtu humu anatudharau sisi waalimu, wakina dink, hurry marry wote wana tudharau, hata wale wasio kua na nyuma au mbele, mpaka mashoga wana tudharau, sisi tumekua laughingStock wa jamii forum au ni kwasbb ya hu basics zetu kua ndogo. Walianza na masingo maza, waka hamia kataa ndoa sasa wame hamia kataa ualimu ni umasikini........hilo lina sababisha na ukosefu wa ajira idlers/jobless wamekua wengi humu, wengi wanatamani huo ualimu ila hawaupati so resorted on defense mechanisms.