Walimu na Askari Polisi mnajidharirisha sana

Mashoga gan wanadharau Walimu?? Mmmh
 
Usichokijua katika maisha ni kuwa kuyanyamazia makosa ni kutaka yaendelee. Walimu ni ndugu zetu katika jamii hali kadhalika askari polisi. Wanafamilia zao wanategemewa katika jamii. Sio kila mtu ataongelea kula tunda kimasihara, wengine tunaangazia upande wa pili wa jamii. Tusipowazindua wengi wao wataishia jela, wengine watakuja kustaafu na hawana chochote kile. Lakini pia tunaikumbusha serikali kupitia hizi nyuzi kufuatilia maisha ya watumishi hususani kwenye kada hizi mbili ambazo siku hizi za usoni ukweli ulio mchungu wamegeuka vituko katika jamii. Sasa wewe ndugu yangu kama ni mwalimu au ni askari ukae kwa kutulia wenyewe mmeshindwa kujitetea.
 
Hayo uliyotaja hakuna anayeruhusiwa kuyafanya hata kama si mwalimu.
Mmomonyoko wa maadili upo kila sekta.
Sasa kama mmomonyoko wa maadili upo Kila sekta,usinifokee mimi nimeamua kuwazumgumzia walimu na askari polisi ambao Nina ushahidi nao. Hao wengine wataongelewa na wengine sisi tutachangia
 
Mkuu jifunze kuwa na akiba ya maneno.

Bila hao walimu unaowasema vibaya leo, sidhani kama hata ungeweza kuandika hicho ulichoandika.

SIJAFUNDISHWA NA WALIMU . ASILIMIA 80 NIMEJIFUNDISHA MIMI MWENYEWE HIZO 20 NI WAZAZI NA MWALIMU WANGU BINAFSI

WANA MAISHA MAGUMU SANA NI KADA YENYE LAAAANA

KATAAA UALIMU NI LAAAAN
 
Ila ujitahidi pia kuuzingatia ushauri wangu kama hutojali. Mimi kwa kweli hapana. Sina kabisa muda wa kufuatilia maisha binafsi ya mtu asiye nihusu.
 
Sisi walimu tumewatendea nini ndugu zetu? Kejeli zote hizi na bado mnatukabidhi watoto wenu tuwalee? Nani mpumbavu sasa hapo, sisi au ninyi mnaokabidhi watoto kwa watu wa hovyo?

SIWEZI KUMPA MWALIMU WA TANZANIA MTOTO WANGU

MADOGO WAKO SHULE YENYE WALIMU WA KIGENI


KATAAA UALIMU NI LAAANAAA
 
Ila ujitahidi pia kuuzingatia ushauri wangu kama hutojali. Mimi kwa kweli hapana. Sina kabisa muda wa kufuatilia maisha binafsi ya mtu asiye nihusu.
Sijafuatilia maisha ya mtu ndugu yangu, kwasababu sijamuongelea mtu Fulani. Nimeongea na kundi la watu katika jamii na uzuri Kila kinachofanyika kinakuwa wazi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Labda kama Kuna nilichokiandika ambacho nimewasingizia?
 
Shikilia nukta ya mzozo,tunakuzungumzieni ninyi askari polisi na walimu. Hao wanasiasa unaowataja ni mabwana wakubwa ambao hamna sauti mbele Yao na wanakuoneni kama hamjielewi pengine.
Ishu nimekuambia sisi sote Watz kwenye interest zetu uwa Utujali nani ataumia si mwalimu, si askari , si mwanasiasa , si muuguzi
 
Wale ulikua nao watoto kipindi hicho ndiyo wamekuwa walimu sasa.wakanye uliokua nao kiumri wabadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…