Walimu na Askari Polisi mnajidharirisha sana

Itakuwa huu Uzi umeusoma kwa masononoke sana,naomba utulie urudie kuusoma upya. Kwasababu niliwachukulia serious maandiko yako haya nakuona umegoma kubadiri tabia.
 
Hata huyu alikuwa kama wewe View attachment 2576375
Nafahamu wazi kuhusu hili na nikamwambia mpwayungu village humu ndani aache kuwachochea ninyi walimu kuigomea serikali, jamii na watu wengine huku akitumia Saikolojia ya udhalilishaji ilihali anawachochea. Nilimwambia tutamkamata na akaahidi kuitikia wito. Hamtamwona tena humu ndani akiwaandama walimu wenzie. Embu walimu acheni kuidharau kazi yenu. Watumishi wengi nchi hii kimasilahi hamtofautiani. Tunafanya kila tuwezalo kuleta usawa.
 
Hebu soma vizuri Uzi wangu. Nukta ya mzozo ni tabia mbovu na ukiukwaji wa maadili Kwa walimu na askari polisi,anzia hapo kwanza karibu kwenye majadiliano.
 
Mtafute mpwayungu village akupe habari nilichomuambia kwa usalama wake. Najua alipo na ni Mwalimu. Elimu pia naijua hadi chuo alichosoma. Watanzania niwaombe tu acheni uchochezi humu. Kama mtu huipendi kazi iache wenzio wataifanya. Sawa kakamkubwa .
 
Mtafute mpwayungu village akupe habari nilichomuambia kwa usalama wake. Najua alipo na ni Mwalimu. Elimu pia naijua hadi chuo alichosoma. Watanzania niwaombe tu acheni uchochezi humu. Kama mtu huipendi kazi iache wenzio wataifanya. Sawa kakamkubwa .
Kazi yangu ni kuelimisha, nimeongelea ukiukwaji wa maadili Kwa walimu na askari polisi au Kuna kisicho na ukweli hapo?
 
Walimu wa kizazi hichi wanatia aibu mwalimu unamkuta bar anavuta mashisha anapanda juu ya meza kukata mauno mwalimu whatsaap status na tiktok kazi ni kubinua matako Walimu badilikeni hiyo fani mnaipaka matope aibu.
Tena wanaenda mbali zaidi baada ya kupanda juu ya meza na wanaimba eti oooooh shetani amepita[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hebu soma vizuri Uzi wangu. Nukta ya mzozo ni tabia mbovu na ukiukwaji wa maadili Kwa walimu na askari polisi,anzia hapo kwanza karibu kwenye majadiliano.
kakamkubwa walimu na Askari ni wengi, Kuna Jwtz, polisi, magreza, uhamiaji nk. Ktk kundi hilo kubwa huwezi kukosa wapuuzi. Usiwahukumu wanajumuiya wote. Tawaliwa na hekima.
 
CAG angewataja walimu ingekuwa nongwa.

Hao maofisa wa mashirika ya juu ya ngazi za serikali kuiba kwao fedha za wananchi ni kutojidhalilisha?
Anzisha Uzi uwataje hao wezi wa fedha za serikali kama ambavyo mimi nimefanya. Kubali kukosolewa usitafute chaka,kama wewe haufanyi hayo niliyoyataja wengine wanafanya. Tuungane kukemea maovu bila kujali yanafanywa na nani.
 
Na wewe utakuwa mpuuzi km umeweza kutazama hizo picha za ngono ambazo walimu wanatuma kwenye magroup hayo
Halafu Uzi unawahusu askari polisi na walimu kwanini unaegemea upande mmoja? Au hawa askari polisi mmewakatia tamaa?
 
Ndio ninawaonya sasa
Jionye mwenyewe kwa kuling'ata ziwa lililokushibisha! Naamini bila hao walimu unaodai walikuwa maswahiba wako na walikuwezesha kuwa ulivyo leo na bado unawakandia Basi una kasoro kubwa tu kwenye afya yako ya akili kumdharau aliyekuwezesha kimaisha na ni laana ujue!
Nakutabiria mwisho mbaya mno kwenye maisha yako Kama hutowaomba Rashi walimu wetu na wa watoto wetu! Ukalaaniwe pamoja na uzao wako wote na wanaokuunga hoja humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…