HOJA Walimu na Uongozi wa Diamond Primary School wametoa Wapi haki ya kuwanyang'anya watoto wetu mabegi ya shule na kuwatenga madarasani?!

HOJA Walimu na Uongozi wa Diamond Primary School wametoa Wapi haki ya kuwanyang'anya watoto wetu mabegi ya shule na kuwatenga madarasani?!

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Pejokiss

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
248
Reaction score
187
Wana Jf mimi ni mmoja wa wazazi wa watoto ktk shule ya mchepuo wa kiingereza ya serikali iliyopo Upanga Mashariki Diamond Primary School,shule hii ada tunalipa shs 400,000/= kwa mwaka na ni utaratibu kila muhula tunalipa shs 200,000/= ila ajabu ni kua shule imefunguliwa juzi June 6 ila mtt wangu na wengine tayari wamenyanganywa mabegi na kutengwa darasani et kisa hawajalipa ada ya muhula wa pili

Inashangaza sana jinsi uongozi wa shule hii unavyowatendea watoto wetu sababu ata kama mtt alikua anakuaa dawati za mbele wamerudishwa nyuma kabisa na kutengwa na wenzao kisa tu ada ya muhula wa pili haijalipwa ilhali shule zenyewe zimefunguliwa juzi tu,,sasa naombeni tusaidiane hapa kujua n wapi wametoa haki ya kuwabagua watoto ilhali shule ni ya serikali na katiba yetu inapinga aina yoyote ya ubaguzi katika nchi hii!

Naomba kuwasilisha!
 
Laki 4 inakusumbua unakuja kulalamika, ingekuwa anasoma private ungelipa zaidi ya hiyo.

Mkuu mbona shule ambazo hazina hizo mambo ni nyingi tu, shule za serikali ambazo hulipi ni nyingi sana saana. Why mtoto usimpeleke huko?

Mimi ninasomesha huko watoto si chini ya wawili. Ni nafuu sana ukicompare na English Medium za Private. Na kila term natoa pia ela ya Home Package elfu tano hadi kumi.

Pole sana Mkuu.
 
Laki 4 inakusumbua unakuja kulalamika, ingekuwa anasoma private ungelipa zaidi ya hiyo.

Mkuu mbona shule ambazo hazina hizo mambo ni nyingi tu, shule za serikali ambazo hulipo ni nyingi sana saana. Why mtoto usimpeleke huko?

Mimi ninasomesha huko watoto si chini ya 2. Ni nafuu sana ukicompare na English Medium za Private. Na kila term natoa pia ela ya Home Package elfu tano hadi kumi.

Pole sana Mkuu.
Hizi shule ziko ngapi kwa hapa Dar?
 
Ndugu mzazi kuna shule za bure kabisa hakuna kulipia. Sasa kama Unashindwa kulipa Ada kwa wakati unategemea wataendeshaje shule? Peleka mwanao Swahili medium hakuna mtu atakusumbua.
Hoja kisoda,hakuna aliekata kulipa ada ila watt hawapaswi kusumbuliwa ilhali inajulikana wazi kua kila muhula lazma ada ilipwe
 
Laki 4 inakusumbua unakuja kulalamika, ingekuwa anasoma private ungelipa zaidi ya hiyo.

Mkuu mbona shule ambazo hazina hizo mambo ni nyingi tu, shule za serikali ambazo hulipo ni nyingi sana saana. Why mtoto usimpeleke huko?

Mimi ninasomesha huko watoto si chini ya 2. Ni nafuu sana ukicompare na English Medium za Private. Na kila term natoa pia ela ya Home Package elfu tano hadi kumi.

Pole sana Mkuu.
Hakuna anaedharau pesa muhim n utaratibu kufatwa,pesa ata ikiwa 20k utaratibu usipofuatwa lazma italeta shida
 
Unalalamika mtoto wako kukaa dawati la nyuma.
Dawati la nyuma unataka akae mtoto wa nani?

Ungesema wamefukuzwa darasani wasihudhurie vipindi hapo ningekuelewa.
Watoto hawapaswi kusumbuliwa kwa.namna.yoyote ile,taratibu imewekwa na ada italipwa,huwez kua unabadili tu utaratibu kila unapojiskiq sabb wew umepewa nafas sehem fulan
 
Watoto hawapaswi kusumbuliwa kwa.namna.yoyote ile,taratibu imewekwa na ada italipwa,huwez kua unabadili tu utaratibu kila unapojiskiq sabb wew umepewa nafas sehem fulan
Kwahiyo kuhamishwa kutoka dawati la mbele kupelekwa dawati la nyuma ni usumbufu?

Mbona ni kawaida walimu kupangua na kupanga wanafunzi upya darasani
 
Back
Top Bottom