HOJA Walimu na Uongozi wa Diamond Primary School wametoa Wapi haki ya kuwanyang'anya watoto wetu mabegi ya shule na kuwatenga madarasani?!

HOJA Walimu na Uongozi wa Diamond Primary School wametoa Wapi haki ya kuwanyang'anya watoto wetu mabegi ya shule na kuwatenga madarasani?!

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kweli kabisa, suala la ada si emergency. Alijua tarehe 6 July mtoto anarudi shule. Tokea amelipa ada ya first term hakujua kama kuna second term ada pia inatakiwa.
Kama alikuwa na changamoto kwanini hakuwasiliana na uongozi wa shule mapema kabla au baada tu ya kufungua shule.
Alichofanya ni mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 
Huo n ubinafsi,ile shule ina watt zaidi ya elfu7..haiwezekan kufikiri kuhusu mtt mmoja tu mana ipo wazi wazaz wengi huchukua muda fulan kuweka ratiba vzr ili kulipa na sioni kama n sawa kuwalazimisha wote walipe ndani ya siku moja,uchumi unatofautiana
Ni sawa kabisa, nilicho maanisha mimi kama upo vizuri lipia tu hiyo ada ili kuepukana na mambo madogo madogo kama hayo.

Kuendelea kupigania haki itendeke au utaratibu ufuatwe ni kuruhusu mwanao aendelee kupitia hiyo zahama anayopitia.
 
Alichofanya ni mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
Anasema malipo ni kila muhula, sawa lakini hajasema utaribu ni mwanzo wa muhula, katikati au mwisho wa huo muhula. Asema ada ya first term alilipa lini. So kila mzazi akijiamulia kulipa ada wakati wowote wa muhula hizo shughuli za shule zitafanyikaje.
 
Navyojua mtoto akireport shule kutoka likizo anatakiwa kua na risiti mkononi.

Dharula yoyote mzazi awasiliane na mwalimu wa darasa au mkuu wa shule.
 
Kumbe Olympio mnalipa hela ndogo hivyo
Hiyo shule ilikuwa moto miaka ya 80 mpaka 90, siku hizi itakuwa tia maji kama wazazi hata lakini 4 wanashindwa kulipa kwa mwaka
 
Huo n ubinafsi,ile shule ina watt zaidi ya elfu7..haiwezekan kufikiri kuhusu mtt mmoja tu mana ipo wazi wazaz wengi huchukua muda fulan kuweka ratiba vzr ili kulipa na sioni kama n sawa kuwalazimisha wote walipe ndani ya siku moja,uchumi unatofautiana
Ndugu umeamua kumtesa mtoto, nahisi umempeleka shule ambayo huna uwezo nayo, hapo nahisi mtoto anakaa mbali na shule.
 
Kumbe Olympio mnalipa hela ndogo hivyo
Hiyo shule ilikuwa moto miaka ya 80 mpaka 90, siku hizi itakuwa tia maji kama wazazi hata lakini 4 wanashindwa kulipa kwa mwaka
Hadi mwaka 98 ada ilikuwa laki1 kwa mwaka, sasahivi naona wamejiongeza kidogo.
 
Hadi mwaka 98 ada ilikuwa laki1 kwa mwaka, sasahivi naona wamejiongeza kidogo.
Hio hebu fikiria wazazi wetu hawakuweza kutusomesha miaka ya 80 mpaka 90 kwa hio ada, huko walikuwa wamejaa wahindi tupu ile shule
Nilisoma Zanaki, ilikuwa kila mwalimu akionekana mzuri ananyakuliwa na Olympio
 
Yeah!
 
Wana Jf mimi ni mmoja wa wazazi wa watoto ktk shule ya mchepuo wa kiingereza ya serikali iliyopo Upanga Mashariki Diamond Primary School,shule hii ada tunalipa shs 400,000/= kwa mwaka na ni utaratibu kila muhula tunalipa shs 200,000/= ila ajabu ni kua shule imefunguliwa juzi June 6 ila mtt wangu na wengine tayari wamenyanganywa mabegi na kutengwa darasani et kisa hawajalipa ada ya muhula wa pili

Inashangaza sana jinsi uongozi wa shule hii unavyowatendea watoto wetu sababu ata kama mtt alikua anakuaa dawati za mbele wamerudishwa nyuma kabisa na kutengwa na wenzao kisa tu ada ya muhula wa pili haijalipwa ilhali shule zenyewe zimefunguliwa juzi tu,,sasa naombeni tusaidiane hapa kujua n wapi wametoa haki ya kuwabagua watoto ilhali shule ni ya serikali na katiba yetu inapinga aina yoyote ya ubaguzi katika nchi hii!

Naomba kuwasilisha!
Kuna watu huwa mnazaliwa DNA za kulalamika.
 
Ww ubongo umejaa matope,kila mwaka ada hulipwa siku yyte ndani ya muula husika,kwa nn wkt huu ilazimishe tarehe fulani?
Kwa uandish huu inaonekana hujawahi kufanya aina yoyote ya biashara.
Unawezaje kuuziwa huduma na mtu halafu ulipe muda wowote unaojisikia.
 
Back
Top Bottom