HOJA Walimu na Uongozi wa Diamond Primary School wametoa Wapi haki ya kuwanyang'anya watoto wetu mabegi ya shule na kuwatenga madarasani?!

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndio shida yetu waafrika wengi huwa tunashughulikia mambo makubwa kupitia mzaha ndo mana hatua kubwa hazipigwi
Bila shaka huu ni muhula wa pili na umekiri kuwa sababu ni kutolipa Ada ya muhula wa pili.
Kwanini usilipe tu hiyo ada kama makubaliano yaliyowekwa kuliko kutumia kinga ya watoto kutosumbuliwa.Au muhamishie mtoto shule zisizo toza Ada kama kulipa hiyo ada ni utata ili kumuepusha mtoto na hizo changamoto.
 
Ukisoma vzr kila muhula n nusu ya ada na hulipwa wkt wowote ndani ya muhula husika muhim tu wasifikie mpka mtihani wa muhula bila kulipa
Precisely, ni wapi umesema kuwa ada hulipwa wakati wo wote ndani ya muhula husika? Ungesema hivyo sidhani kama kungekuwa na mkanganyiko wo wote. Na ni vigumu kidogo kuhitimisha hivyo maana watu tumezoea hard deadlines. Sasa hii yenu ya kwamba mzazi anaweza kulipa ada wakati wo wote anaojisikia katika muhula husika siyo kawaida na mna bahati sana. Shule nyingi kuna deadlines na ikifika mtoto hajalipa ada automatically anarudishwa nyumbani.

20260716_185423.png
 
Wana Jf mimi ni mmoja wa wazazi wa watoto ktk shule ya mchepuo wa kiingereza ya serikali iliyopo Upanga Mashariki Diamond Primary School,shule hii ada tunalipa shs 400,000/= kwa mwaka na ni utaratibu kila muhula tunalipa shs 200,000/= ila ajabu ni kua shule imefunguliwa juzi June 6 ila mtt wangu na wengine tayari wamenyanganywa mabegi na kutengwa darasani et kisa hawajalipa ada ya muhula wa pili

Inashangaza sana jinsi uongozi wa shule hii unavyowatendea watoto wetu sababu ata kama mtt alikua anakuaa dawati za mbele wamerudishwa nyuma kabisa na kutengwa na wenzao kisa tu ada ya muhula wa pili haijalipwa ilhali shule zenyewe zimefunguliwa juzi tu,,sasa naombeni tusaidiane hapa kujua n wapi wametoa haki ya kuwabagua watoto ilhali shule ni ya serikali na katiba yetu inapinga aina yoyote ya ubaguzi katika nchi hii!

Naomba kuwasilisha!
Pole kwa changamoto Mkuu. Natumai hii pia haipo hapo Olympio Maana mmmmhh
 
Bila shaka huu ni muhula wa pili na umekiri kuwa sababu ni kutolipa Ada ya muhula wa pili.
Kwanini usilipe tu hiyo ada kama makubaliano yaliyowekwa kuliko kutumia kinga ya watoto kutosumbuliwa.Au muhamishie mtoto shule zisizo toza Ada kama kulipa hiyo ada ni utata ili kumuepusha mtoto na hizo changamoto.
Hujaelewa,kila mwaka ada hulipwa siku yoyote ndani ya muula husika na wakat huo watt wanaendelea na masomo,mbona nchi imejaa watu wenye ubongo mzto sana hiii.ajabu sana
 
Bila shaka huu ni muhula wa pili na umekiri kuwa sababu ni kutolipa Ada ya muhula wa pili.
Kwanini usilipe tu hiyo ada kama makubaliano yaliyowekwa kuliko kutumia kinga ya watoto kutosumbuliwa.Au muhamishie mtoto shule zisizo toza Ada kama kulipa hiyo ada ni utata ili kumuepusha mtoto na hizo changamoto.
Hujaelewa,kila mwaka ada hulipwa siku yoyote ndani ya muula husika na wakat huo watt wanaendelea na masomo,mbona nchi imejaa watu wenye ubongo mzto sana hiii.
Precisely, ni wapi umesema kuwa ada hulipwa wakati wo wote ndani ya muhula husika? Ungesema hivyo sidhani kama kungekuwa na mkanganyiko wo wote. Na ni vigumu kidogo kuhitimisha hivyo maana watu tumezoea hard deadlines. Sasa hii yenu ya kwamba mzazi anaweza kulipa ada wakati wo wote anaojisikia katika muhula husika siyo kawaida na mna bahati sana. Shule nyingi kuna deadlines na ikifika mtoto hajalipa ada automatically anarudishwa nyumbani.

View attachment 3630441
Na ww kwa akilo yako ndogo unahisi kama taratibu toka zaman zingekua n tar fulani lazma ada iwe imelipwa ningekuja hapa kuleta hoja?jiulize mara mbili kabla ya kujibu,utaratibu umekiukwa ndo mana hoja ikaletwa
 
Hii nchi kwa ujumla, kwa sasa haiendi kwa utaratibu, wewe wajibika kwa mwanao, kama pesa ipo lipia hiyo ada ili mwanao aendelee kusoma kwa amani.
Huo n ubinafsi,ile shule ina watt zaidi ya elfu7..haiwezekan kufikiri kuhusu mtt mmoja tu mana ipo wazi wazaz wengi huchukua muda fulan kuweka ratiba vzr ili kulipa na sioni kama n sawa kuwalazimisha wote walipe ndani ya siku moja,uchumi unatofautiana
 
Wana Jf mimi ni mmoja wa wazazi wa watoto ktk shule ya mchepuo wa kiingereza ya serikali iliyopo Upanga Mashariki Diamond Primary School,shule hii ada tunalipa shs 400,000/= kwa mwaka na ni utaratibu kila muhula tunalipa shs 200,000/= ila ajabu ni kua shule imefunguliwa juzi June 6 ila mtt wangu na wengine tayari wamenyanganywa mabegi na kutengwa darasani et kisa hawajalipa ada ya muhula wa pili

Inashangaza sana jinsi uongozi wa shule hii unavyowatendea watoto wetu sababu ata kama mtt alikua anakuaa dawati za mbele wamerudishwa nyuma kabisa na kutengwa na wenzao kisa tu ada ya muhula wa pili haijalipwa ilhali shule zenyewe zimefunguliwa juzi tu,,sasa naombeni tusaidiane hapa kujua n wapi wametoa haki ya kuwabagua watoto ilhali shule ni ya serikali na katiba yetu inapinga aina yoyote ya ubaguzi katika nchi hii!

Naomba kuwasilisha!
Mkuu ada si zinalipwa kabla ya shule kufunguliwa?

Kwanza ulienda kumuimbisha mwalimu mkuu au mhasibu ili akuvumilie wakati unajitafuta?
Au umekuja kulalamika kwanza JF?
 
Hujaelewa,kila mwaka ada hulipwa siku yoyote ndani ya muula husika na wakat huo watt wanaendelea na masomo,mbona nchi imejaa watu wenye ubongo mzto sana hiii.

Na ww kwa akilo yako ndogo unahisi kama taratibu toka zaman zingekua n tar fulani lazma ada iwe imelipwa ningekuja hapa kuleta hoja?jiulize mara mbili kabla ya kujibu,utaratibu umekiukwa ndo mana hoja ikaletwa
Lipa ada mkuu acha kulalamika.
Serikali ina shule za bure pia mkuu.
 
Kweli kabisa, suala la ada si emergency. Alijua tarehe 6 July mtoto anarudi shule. Tokea amelipa ada ya first term hakujua kama kuna second term ada pia inatakiwa.
Kama alikuwa na changamoto kwanini hakuwasiliana na uongozi wa shule mapema kabla au baada tu ya kufungua shule.
Lipa ada
Shule imefunguliwa juzi ulitakiwa juzi hiyohiyo ulipie
 
Back
Top Bottom