Ww nae akili zko n kama tu hao,soma elewa toa maoni kama mtu alieenda shule,hakuna aliekataa kulipa adaLipa ada
Shule imefunguliwa juzi ulitakiwa juzi hiyohiyo ulipie
Unalalamika mtoto wako kukaa dawati la nyuma.Ww nae akili zko n kama tu hao,soma elewa toa maoni kama mtu alieenda shule,hakuna aliekataa kulipa ada
Hizi shule ziko ngapi kwa hapa Dar?Laki 4 inakusumbua unakuja kulalamika, ingekuwa anasoma private ungelipa zaidi ya hiyo.
Mkuu mbona shule ambazo hazina hizo mambo ni nyingi tu, shule za serikali ambazo hulipo ni nyingi sana saana. Why mtoto usimpeleke huko?
Mimi ninasomesha huko watoto si chini ya 2. Ni nafuu sana ukicompare na English Medium za Private. Na kila term natoa pia ela ya Home Package elfu tano hadi kumi.
Pole sana Mkuu.
Hujengi,hoja n kuwa kwa nn watoto wasumbuliwe ilhali utaratibu n kila muhula na kias chake na hakuna aliekataa kulipaLipa ada kama uwez mpeleke elimu bure acha malalamiko ya kiwaki
Hoja kisoda,hakuna aliekata kulipa ada ila watt hawapaswi kusumbuliwa ilhali inajulikana wazi kua kila muhula lazma ada ilipweNdugu mzazi kuna shule za bure kabisa hakuna kulipia. Sasa kama Unashindwa kulipa Ada kwa wakati unategemea wataendeshaje shule? Peleka mwanao Swahili medium hakuna mtu atakusumbua.
O brain hakuna aliekataa kulipa ada,muhimu utaratibu uzingatiwe na sio kusumbua wattLipa ada kama uwez mpeleke elimu bure acha malalamiko ya kiwaki
Inategemea wewe upo dar sehemu gani ila zipo kila wilaya na zipo nyingi, hazipungui 3.Hizi shule ziko ngapi kwa hapa Dar?
Hakuna anaedharau pesa muhim n utaratibu kufatwa,pesa ata ikiwa 20k utaratibu usipofuatwa lazma italeta shidaLaki 4 inakusumbua unakuja kulalamika, ingekuwa anasoma private ungelipa zaidi ya hiyo.
Mkuu mbona shule ambazo hazina hizo mambo ni nyingi tu, shule za serikali ambazo hulipo ni nyingi sana saana. Why mtoto usimpeleke huko?
Mimi ninasomesha huko watoto si chini ya 2. Ni nafuu sana ukicompare na English Medium za Private. Na kila term natoa pia ela ya Home Package elfu tano hadi kumi.
Pole sana Mkuu.
Watoto hawapaswi kusumbuliwa kwa.namna.yoyote ile,taratibu imewekwa na ada italipwa,huwez kua unabadili tu utaratibu kila unapojiskiq sabb wew umepewa nafas sehem fulanUnalalamika mtoto wako kukaa dawati la nyuma.
Dawati la nyuma unataka akae mtoto wa nani?
Ungesema wamefukuzwa darasani wasihudhurie vipindi hapo ningekuelewa.
Ndio shida yetu waafrika wengi huwa tunashughulikia mambo makubwa kupitia mzaha ndo mana hatua kubwa hazipigwiPale ambapo mzazi umeandika kwa uchungu unakutana na koment za lipa ada inauma.....
Wamenyang'anywa mabegi wamepeleka wapi?
Kwahiyo kuhamishwa kutoka dawati la mbele kupelekwa dawati la nyuma ni usumbufu?Watoto hawapaswi kusumbuliwa kwa.namna.yoyote ile,taratibu imewekwa na ada italipwa,huwez kua unabadili tu utaratibu kila unapojiskiq sabb wew umepewa nafas sehem fulan
Ww ungejua kama kuna kufata utaratibu ungelipa mapema piaO brain hakuna aliekataa kulipa ada,muhimu utaratibu uzingatiwe na sio kusumbua watt