HOJA Walimu na Uongozi wa Diamond Primary School wametoa Wapi haki ya kuwanyang'anya watoto wetu mabegi ya shule na kuwatenga madarasani?!

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Onana na uongozi wa shule wakupe maelekezo
 
Pick your battles wisely. Lipa ada—save your ammo for more important battles!
 
Hakuna aliekataa kulipa ada
Kwa utaratibu mliojiwekea ada inatakiwa kulipwa lini? Shule zilifunguliwa tarehe 6 July na leo ni tarehe 16. Je, mwisho wa kulipa ada kwa muhula huu ni lini?

Hujaitaja tarehe ya mwisho ya kulipa ada wakati ndiyo msingi mkuu wa hoja yako. Badala yake umekazana kugombana na kila anayekuhimiza ulipe hiyo ada ili kuepuka usumbufu.

Kama deadline bado, hao watoto wenu wameonewa. Kama deadline imeshapita, hao watoto walitakiwa kurudishwa nyumbani mpaka wazazi mlipe hizo ada. Njia waliyotumia walimu ni kama kuwadhalilisha hao watoto na kwa hawa watoto wa kisasa (broilers) inaweza kuwaletea matatizo ya kisaikolojia na ni afadhali tu wangewarudisha nyumbani lakini siyo kuwanyang'anya mabegi na kuwatenga darasani. The whole episode could have been handled better.

Shule ijitathmini na nyinyi wazazi badala ya kulalamika tu lipeni hizo ada na komesheni hiyo tabia ya watoto wenu kudhalilishwa. Kama ada hakuna hamishieni watoto kwenye shule zisizo na ada kabisa.
 
Ukisoma vzr kila muhula n nusu ya ada na hulipwa wkt wowote ndani ya muhula husika muhim tu wasifikie mpka mtihani wa muhula bila kulipa
 
O brain hakuna aliekataa kulipa ada,muhimu utaratibu uzingatiwe na sio kusumbua watt
Nenda kalipa ada bana usitupigie kelele hapa.

Hutaki mwanao akae nyuma ndio unataka mtoto wa nani akae huko nyuma.

Nyie ndio wale Wazazi wapumbavu pumbavu kutwa kucha kulalama Kwa Sababu za kijinga.

Mtoto umezaa mwenyewe Tabu uwaletee wengine

Kalipe ada bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…