Bila shaka huu ni muhula wa pili na umekiri kuwa sababu ni kutolipa Ada ya muhula wa pili.Ndio shida yetu waafrika wengi huwa tunashughulikia mambo makubwa kupitia mzaha ndo mana hatua kubwa hazipigwi
Lipa sasa. Sio lazima upigane kila battle!Hakuna aliekataa kulipa ada
Precisely, ni wapi umesema kuwa ada hulipwa wakati wo wote ndani ya muhula husika? Ungesema hivyo sidhani kama kungekuwa na mkanganyiko wo wote. Na ni vigumu kidogo kuhitimisha hivyo maana watu tumezoea hard deadlines. Sasa hii yenu ya kwamba mzazi anaweza kulipa ada wakati wo wote anaojisikia katika muhula husika siyo kawaida na mna bahati sana. Shule nyingi kuna deadlines na ikifika mtoto hajalipa ada automatically anarudishwa nyumbani.Ukisoma vzr kila muhula n nusu ya ada na hulipwa wkt wowote ndani ya muhula husika muhim tu wasifikie mpka mtihani wa muhula bila kulipa
Hii nchi kwa ujumla, kwa sasa haiendi kwa utaratibu, wewe wajibika kwa mwanao, kama pesa ipo lipia hiyo ada ili mwanao aendelee kusoma kwa amani.Hujengi,hoja n kuwa kwa nn watoto wasumbuliwe ilhali utaratibu n kila muhula na kias chake na hakuna aliekataa kulipa
Pole kwa changamoto Mkuu. Natumai hii pia haipo hapo Olympio Maana mmmmhhWana Jf mimi ni mmoja wa wazazi wa watoto ktk shule ya mchepuo wa kiingereza ya serikali iliyopo Upanga Mashariki Diamond Primary School,shule hii ada tunalipa shs 400,000/= kwa mwaka na ni utaratibu kila muhula tunalipa shs 200,000/= ila ajabu ni kua shule imefunguliwa juzi June 6 ila mtt wangu na wengine tayari wamenyanganywa mabegi na kutengwa darasani et kisa hawajalipa ada ya muhula wa pili
Inashangaza sana jinsi uongozi wa shule hii unavyowatendea watoto wetu sababu ata kama mtt alikua anakuaa dawati za mbele wamerudishwa nyuma kabisa na kutengwa na wenzao kisa tu ada ya muhula wa pili haijalipwa ilhali shule zenyewe zimefunguliwa juzi tu,,sasa naombeni tusaidiane hapa kujua n wapi wametoa haki ya kuwabagua watoto ilhali shule ni ya serikali na katiba yetu inapinga aina yoyote ya ubaguzi katika nchi hii!
Naomba kuwasilisha!
Niko ubungo mkuuInategemea wewe upo dar sehemu gani ila zipo kila wilaya na zipo nyingi, hazipungui 3.
Hii ya Mbezi Luis inaitwa hivo hivo "Mbezi Luis"?Nafikiri zinazidi 8
Nizijuazo
1. Diamond
2. Olympio
3. Makumbusho
4. Lugalo
5. Madale
6. Mbezi Luis
....
Nasikia Mapambano Mwenge, Bunge na Mlimani pia hizi sina uhakika nazo.
Huko Temeke zipo
Kuna shule kama Oysterbay, Zanaki, Bunge, Kisutu, Diamond, Olympio.Niko ubungo mkuu
Jamaa amezingua sana aiseee.Apa ndio naweka msumari watanzania wengi wanaishi chini ya Dola Moja kwa siku (umaskini wa kutupwa)
Ada laki nne kwa mwaka mtu analia?!
Ww ubongo umejaa matope,kila mwaka ada hulipwa siku yyte ndani ya muula husika,kwa nn wkt huu ilazimishe tarehe fulani?Ww ungejua kama kuna kufata utaratibu ungelipa mapema pia
Nchi imejaa mataahira kila kona na ndo mana walioko madarakani wanatuona wajingaJamaa amezingua sana aiseee.
Hujaelewa,kila mwaka ada hulipwa siku yoyote ndani ya muula husika na wakat huo watt wanaendelea na masomo,mbona nchi imejaa watu wenye ubongo mzto sana hiii.ajabu sanaBila shaka huu ni muhula wa pili na umekiri kuwa sababu ni kutolipa Ada ya muhula wa pili.
Kwanini usilipe tu hiyo ada kama makubaliano yaliyowekwa kuliko kutumia kinga ya watoto kutosumbuliwa.Au muhamishie mtoto shule zisizo toza Ada kama kulipa hiyo ada ni utata ili kumuepusha mtoto na hizo changamoto.
Hujaelewa,kila mwaka ada hulipwa siku yoyote ndani ya muula husika na wakat huo watt wanaendelea na masomo,mbona nchi imejaa watu wenye ubongo mzto sana hiii.Bila shaka huu ni muhula wa pili na umekiri kuwa sababu ni kutolipa Ada ya muhula wa pili.
Kwanini usilipe tu hiyo ada kama makubaliano yaliyowekwa kuliko kutumia kinga ya watoto kutosumbuliwa.Au muhamishie mtoto shule zisizo toza Ada kama kulipa hiyo ada ni utata ili kumuepusha mtoto na hizo changamoto.
Na ww kwa akilo yako ndogo unahisi kama taratibu toka zaman zingekua n tar fulani lazma ada iwe imelipwa ningekuja hapa kuleta hoja?jiulize mara mbili kabla ya kujibu,utaratibu umekiukwa ndo mana hoja ikaletwaPrecisely, ni wapi umesema kuwa ada hulipwa wakati wo wote ndani ya muhula husika? Ungesema hivyo sidhani kama kungekuwa na mkanganyiko wo wote. Na ni vigumu kidogo kuhitimisha hivyo maana watu tumezoea hard deadlines. Sasa hii yenu ya kwamba mzazi anaweza kulipa ada wakati wo wote anaojisikia katika muhula husika siyo kawaida na mna bahati sana. Shule nyingi kuna deadlines na ikifika mtoto hajalipa ada automatically anarudishwa nyumbani.
View attachment 3630441
Huo n ubinafsi,ile shule ina watt zaidi ya elfu7..haiwezekan kufikiri kuhusu mtt mmoja tu mana ipo wazi wazaz wengi huchukua muda fulan kuweka ratiba vzr ili kulipa na sioni kama n sawa kuwalazimisha wote walipe ndani ya siku moja,uchumi unatofautianaHii nchi kwa ujumla, kwa sasa haiendi kwa utaratibu, wewe wajibika kwa mwanao, kama pesa ipo lipia hiyo ada ili mwanao aendelee kusoma kwa amani.
Mkuu ada si zinalipwa kabla ya shule kufunguliwa?Wana Jf mimi ni mmoja wa wazazi wa watoto ktk shule ya mchepuo wa kiingereza ya serikali iliyopo Upanga Mashariki Diamond Primary School,shule hii ada tunalipa shs 400,000/= kwa mwaka na ni utaratibu kila muhula tunalipa shs 200,000/= ila ajabu ni kua shule imefunguliwa juzi June 6 ila mtt wangu na wengine tayari wamenyanganywa mabegi na kutengwa darasani et kisa hawajalipa ada ya muhula wa pili
Inashangaza sana jinsi uongozi wa shule hii unavyowatendea watoto wetu sababu ata kama mtt alikua anakuaa dawati za mbele wamerudishwa nyuma kabisa na kutengwa na wenzao kisa tu ada ya muhula wa pili haijalipwa ilhali shule zenyewe zimefunguliwa juzi tu,,sasa naombeni tusaidiane hapa kujua n wapi wametoa haki ya kuwabagua watoto ilhali shule ni ya serikali na katiba yetu inapinga aina yoyote ya ubaguzi katika nchi hii!
Naomba kuwasilisha!
Lipa ada mkuu acha kulalamika.Hujaelewa,kila mwaka ada hulipwa siku yoyote ndani ya muula husika na wakat huo watt wanaendelea na masomo,mbona nchi imejaa watu wenye ubongo mzto sana hiii.
Na ww kwa akilo yako ndogo unahisi kama taratibu toka zaman zingekua n tar fulani lazma ada iwe imelipwa ningekuja hapa kuleta hoja?jiulize mara mbili kabla ya kujibu,utaratibu umekiukwa ndo mana hoja ikaletwa
Lipa ada
Shule imefunguliwa juzi ulitakiwa juzi hiyohiyo ulipie