Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
Nitume kwa JF-PESA?Leta hela ya twisheni kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitume kwa JF-PESA?Leta hela ya twisheni kwanza
Tuma kwa namba hii hiiNitume kwa JF-PESA?
Umeisha hiyoooooooTuma kwa namba hii hii
Hawaelewi Mkuu nenda kagombeze walimu halafu na tipu mbahili mtt anasuswa Bora liendeToa tip mtoto wako apate usimamizi mzuri shule na kufaulu.
Kwa vizinga ni wa private, Kwa lift wa governmentYaelekea huwajui wewe..
Ukute hata hajaombwa🤣Sasa wewe umeombwa na mwalimu mmoja umekuja kufanya hitimisho huku kuwa ni walimu wote,mimi mbona sijakuomba wewe?
Mkuu mbona umehusisha jamii kwenye jambo ambako kimsingi linahusu mahusiano yako na huyo/hao walimu, kama wewe umeshindwa kumwambia huyo mwalimu mmoja hapana na kumtaka aache hiyo tabia, mbali zaidi unampa mara kwa mara hiyo unayoita rushwa basi wewe ndiye unayetakiwa kubadilika mara moja.Imekuwa kawaida sana kwa walimu kuanzia chekechea, sekondari kasoro labda vyuoni tu. kupenda sana kuomba omba wazazi pesa mara nimekwama, mara naazima.
Mimi kama mzazi nimeshuhudia walimu wa shule moja ya seminary za miaka hii maana seminari za zamani kulikuwa hakuna walimu wanaopiga mizinga . sijui wanafikiri ukipeleka mtoto shule ya mission ada iko juu basi unahela muda wote, hii ni rushwa tunailea.
shule zikifungwa mkifuata ripoti na matokeo ya mtoto mwl anasubiri kupewa vijipesa . Hivi watoto wetu mnawafundisha maadili gani kama mwl unatafuta kila mwezi kupiga mizinga wazazi wa watoto wa shule unayofundisha.
Walimu mbadilike kama mzazi atakupa ya vocha ni awe amaeamua na sio mgeuke ombaomba kama walinzi wa maegesho.
Ungewaambia trafic hii statement ingefaa sana, maana wanapiga mizinga haooooo!!!Imekuwa kawaida sana kwa walimu kuanzia chekechea, sekondari kasoro labda vyuoni tu. kupenda sana kuomba omba wazazi pesa mara nimekwama, mara naazima.