Hao walimu walishagoma zamani mno, ukiona mtoto wa darasa la saba anamaliza leo bila kujua kusoma na kuandika ujue mgomo ulianza miaka saba iliyopita.walimu kila kona ya nchi hii wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea huku wakihamasishana kufelisha kwa nguvu watoto wa tanzania je wadau kizaz cha tanzania inayokuja itakuwa ya aina gani? Sasa mi naona itoshe kuanzishwa mjadala wa kitaifa kuhusu suala ya walimu hali ni mbaya sana hasa kijijini watoto wanafeshwa makusudi serikalii hii imekaa kimya je tunaweza kujidanganya kwamba hali hii haituhusu jamani. Inahitajika movement kubwa ukiacha chama chao cha CWT iliyowekwa mfukoni na serikali. Sis sote tu kazi ya mwalimu wanajamvi tukae kwa kuanzisha mjadala mkubwa kuhusus walimu. Nawasilisha.
walimu kila kona ya nchi hii wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea huku wakihamasishana kufelisha kwa nguvu watoto wa tanzania je wadau kizaz cha tanzania inayokuja itakuwa ya aina gani? Sasa mi naona itoshe kuanzishwa mjadala wa kitaifa kuhusu suala ya walimu hali ni mbaya sana hasa kijijini watoto wanafeshwa makusudi serikalii hii imekaa kimya je tunaweza kujidanganya kwamba hali hii haituhusu jamani. Inahitajika movement kubwa ukiacha chama chao cha CWT iliyowekwa mfukoni na serikali. Sis sote tu kazi ya mwalimu wanajamvi tukae kwa kuanzisha mjadala mkubwa kuhusus walimu. Nawasilisha.
Na hali hii itaendelea kwa kipindi kirefu sana mpaka hapo serikali itakapo tusikiliza
Hivi mnajua hata wizara husika ilisha choka tangu zamani?kila mara wanabadili mfumo wa elimu na ilipo choka zaidi ni walipoamua kutoa mitihani yenye majibu ya kuchagua yote,hata asiyejuwa kusoma ameshedi vizuri,je hatafaulu?hebu Wizara husika itulie,itafakari ijaribu kuleta maboresho.Kwanza iwe na mfumo bora wa elimu na iwe vitabu vya kufundishia vya aina moja nchi nzima(kitabu cha kiada),pili kama wanafanya utafiti wa kielimu waende vijijini sio hapo Dar.penye mwl.1:wan.40,tatu waielewe Tanzania sio Dar--Dodoma kila mara mikoani na vijijini wamesahau,nne,masilahi ya Walimu yaboreshwe,madai yalipwe ,hivi wewe kiongozi kama hujalipwa madai ya kupanda daraja tangu mwaka 2010 hadi leo,utaielewaje serikali iliyosema madai yasilimbikizwe.Nakataa walimu hawana mgomo baridi,mgomo uko huko kwa hao wanaopeleka watoto wao kusoma nje kwa mishahara minono waliyojilimbikizia,ambayo ni fedha zilezile ambazo wangelipa madai ya watumishi wake.
Movement unayoifikiria ni ipi mkuu?Kuwalazimisha kufundisha? vipi kuhusu maslahi?

Na bado serikali isipo wajali walimu kama walivyo fanya Kenya msitegemee matokeo mazuri.Tumesema,tumegoma,tumeandamana vyakutosha sasa tumechoka.Tupo kimia tukitimiza kazi zetu tulizojipangia kama walimu juu ya ufundishaji,matokeo yake serikali itayaona.
Tatizo serikali yetu siyo sikivu. Haya yote yanayozungumzwa ni ya kweli na serikali inafahamu vizuri, lakini inapuuzia. Matokeo yake ndo haya tunayoshuhudia. Nashindwa kujua nini kifanyike.