walimu sasa wameua nchi.

walimu sasa wameua nchi.

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,800
Reaction score
2,339
walimu kila kona ya nchi hii wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea huku wakihamasishana kufelisha kwa nguvu watoto wa tanzania je wadau kizaz cha tanzania inayokuja itakuwa ya aina gani? Sasa mi naona itoshe kuanzishwa mjadala wa kitaifa kuhusu suala ya walimu hali ni mbaya sana hasa kijijini watoto wanafeshwa makusudi serikalii hii imekaa kimya je tunaweza kujidanganya kwamba hali hii haituhusu jamani. Inahitajika movement kubwa ukiacha chama chao cha CWT iliyowekwa mfukoni na serikali. Sis sote tu kazi ya mwalimu wanajamvi tukae kwa kuanzisha mjadala mkubwa kuhusus walimu. Nawasilisha.
 
Movement unayoifikiria ni ipi mkuu?Kuwalazimisha kufundisha? vipi kuhusu maslahi?
 
walimu kila kona ya nchi hii wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea huku wakihamasishana kufelisha kwa nguvu watoto wa tanzania je wadau kizaz cha tanzania inayokuja itakuwa ya aina gani? Sasa mi naona itoshe kuanzishwa mjadala wa kitaifa kuhusu suala ya walimu hali ni mbaya sana hasa kijijini watoto wanafeshwa makusudi serikalii hii imekaa kimya je tunaweza kujidanganya kwamba hali hii haituhusu jamani. Inahitajika movement kubwa ukiacha chama chao cha CWT iliyowekwa mfukoni na serikali. Sis sote tu kazi ya mwalimu wanajamvi tukae kwa kuanzisha mjadala mkubwa kuhusus walimu. Nawasilisha.
Hao walimu walishagoma zamani mno, ukiona mtoto wa darasa la saba anamaliza leo bila kujua kusoma na kuandika ujue mgomo ulianza miaka saba iliyopita.
Aina ya mgomo wanaoufanya ni mbaya, ni ule mgomo wa kwenda kazini halafu hawafundishi ila wanazuga, ni bora wasingeenda kazini kabisa ili watafutwe walimu wengine.
Serikali badala ya kuboresha maisha yao inawatisha wasigome, serikali inaona ufumbuzi ni kuwatisha kumbe ni uchizi mtupu.
 
walimu kila kona ya nchi hii wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea huku wakihamasishana kufelisha kwa nguvu watoto wa tanzania je wadau kizaz cha tanzania inayokuja itakuwa ya aina gani? Sasa mi naona itoshe kuanzishwa mjadala wa kitaifa kuhusu suala ya walimu hali ni mbaya sana hasa kijijini watoto wanafeshwa makusudi serikalii hii imekaa kimya je tunaweza kujidanganya kwamba hali hii haituhusu jamani. Inahitajika movement kubwa ukiacha chama chao cha CWT iliyowekwa mfukoni na serikali. Sis sote tu kazi ya mwalimu wanajamvi tukae kwa kuanzisha mjadala mkubwa kuhusus walimu. Nawasilisha.

serikali imekaa kimya ndio! kwani mtoto wa waziri gani anayesoma shule za msingi za serikali? watoto wao wanasoma ulayaaa. vigogo wa serikali wala hata hawatikisiki na huo mgomo baridi wa walimu...watatikisika wewe na wengine mkianzisha hiyo movement yenu. mtatandikwa virungu kwa kwenda mbele!
 
Hivi mnajua hata wizara husika ilisha choka tangu zamani?kila mara wanabadili mfumo wa elimu na ilipo choka zaidi ni walipoamua kutoa mitihani yenye majibu ya kuchagua yote,hata asiyejuwa kusoma ameshedi vizuri,je hatafaulu?hebu Wizara husika itulie,itafakari ijaribu kuleta maboresho.Kwanza iwe na mfumo bora wa elimu na iwe vitabu vya kufundishia vya aina moja nchi nzima(kitabu cha kiada),pili kama wanafanya utafiti wa kielimu waende vijijini sio hapo Dar.penye mwl.1:wan.40,tatu waielewe Tanzania sio Dar--Dodoma kila mara mikoani na vijijini wamesahau,nne,masilahi ya Walimu yaboreshwe,madai yalipwe ,hivi wewe kiongozi kama hujalipwa madai ya kupanda daraja tangu mwaka 2010 hadi leo,utaielewaje serikali iliyosema madai yasilimbikizwe.Nakataa walimu hawana mgomo baridi,mgomo uko huko kwa hao wanaopeleka watoto wao kusoma nje kwa mishahara minono waliyojilimbikizia,ambayo ni fedha zilezile ambazo wangelipa madai ya watumishi wake.
 
Na hali hii itaendelea kwa kipindi kirefu sana mpaka hapo serikali itakapo tusikiliza
 
bila kubadili uongozi wa kisiasa, hakuna cha kuokoa taifa hili
 
Hivi mnajua hata wizara husika ilisha choka tangu zamani?kila mara wanabadili mfumo wa elimu na ilipo choka zaidi ni walipoamua kutoa mitihani yenye majibu ya kuchagua yote,hata asiyejuwa kusoma ameshedi vizuri,je hatafaulu?hebu Wizara husika itulie,itafakari ijaribu kuleta maboresho.Kwanza iwe na mfumo bora wa elimu na iwe vitabu vya kufundishia vya aina moja nchi nzima(kitabu cha kiada),pili kama wanafanya utafiti wa kielimu waende vijijini sio hapo Dar.penye mwl.1:wan.40,tatu waielewe Tanzania sio Dar--Dodoma kila mara mikoani na vijijini wamesahau,nne,masilahi ya Walimu yaboreshwe,madai yalipwe ,hivi wewe kiongozi kama hujalipwa madai ya kupanda daraja tangu mwaka 2010 hadi leo,utaielewaje serikali iliyosema madai yasilimbikizwe.Nakataa walimu hawana mgomo baridi,mgomo uko huko kwa hao wanaopeleka watoto wao kusoma nje kwa mishahara minono waliyojilimbikizia,ambayo ni fedha zilezile ambazo wangelipa madai ya watumishi wake.

Wizara inaongozwa na waziri asiyejua hata Tanzania ni nini, tutegemee nini, kuendesha serikali kishkaji ndo matokeo yake haya
 
Pamoja na serikali kutojali wafanyakazi, hali mbaya ya uchumi na serikali (hasa hii ya awamu ya nne) kutokuwa na economic and financial policies imechangia siyo kuua morale ya walimu tu bali hata wafanyakazi na wananchi kwa ujumla. Naamini ni mafisadi tu ndiyo hawajakata tamaa.
 
Tatizo kubwa ni kiburi cha serikali. Kiburi hicho kinatoka na wao kutowapeleka watoto wao kwenye shule za TZ. Lakini wanashau kuwa hata huko wanakowapeleka watoto wao nako kuna serikali, lakini yenye kujali wananchi wao. Haiingii akilini, walimu hawalipwi mambo mbalimbali wakati kila kukicha, nyala za TZ zimekamatwa kule, wa-TZ wanamihela nje ya nchi, sijui akaunti ya Tirdo inatumika na polisi, sijui EPA, meremeta, vijisenti, mara migodini kuna wizi, mara ikulu inashiriki kuuwa wananchi wake, polisi wagawana milioni mia na hamsini, etc etc. Katika mazingira kama haya nani atakuelewa? Ni sawa na home, baba kila siku umelewa, watoto dagaa bandika bandua, lakini watoto wanasikia mitaani baba akikaa baa, mibuzi, mikuku, michemsho ya haja na akirudi home yeye ni kulala tu, unategemea nini toka kwa watoto? Wengine wanaweza wakakuwekea ----- kwenye maji ya kunywa ili uumwe na hela uzitumie kwenye matibabu ili ukose hayo mavyakula yako and hence mkose wote.

WHAT GOES AROUND, COMES BACK AROUND.

Kuna raisi mmoja wa nchi moja ya Afrika aliwahi kuchapwa na wananchi.... Ndo tunaelekea huko... Si dalili nzuri kila kona kuwe na maandamano au migomo ya kila aina... Mara wanafunzi, mara gesi, mara walimu, mara madaktari, etc etc. Na migomo au maandamano yote badala ya kudili n sosi kazi kusingizia wanasiasa wa vyama pinzani, mra wagomaji au waandamanaji wametumwa, hivi mnadha wenyewe hawaoni mnayoyafanya?
 
Wizara inaongozwa na mulugo ambaye hata kusoma kilicho andikwa kwake ni kazi nzito
Nilicheka sana class wakati lecturer wetu anawaponda mawaziri na elimu zao,akamtolea mfano huyu bwana filipo
 
tatizo ni kila anayevuka daraja linaloitwa mwalim analivunjilia mbali. Mara utasikia kazi ya waliofeli, someni ndipo mdai mishahara mikubwa, swali; nani anawarazimisha kuajiri waliofeli? Kwa nini wasiwaajiri wenye shahada kuanzia awali na wawajari kama wasomi wenzao? Kama wanafikiri wanaajiri vibaraka wa kuwasaidia kuvuka daraja basi imekula kwao. KILIO CHA SAMAKI MACHOZI HUENDA NA MAJI na FAHARI WAWILI WAGOMBANAPO ZIUMIAZO NI NYASI. Mapambano yanaendelea.
 
Na bado serikali isipo wajali walimu kama walivyo fanya Kenya msitegemee matokeo mazuri.Tumesema,tumegoma,tumeandamana vyakutosha sasa tumechoka.Tupo kimia tukitimiza kazi zetu tulizojipangia kama walimu juu ya ufundishaji,matokeo yake serikali itayaona.
 
Tatizo serikali yetu siyo sikivu. Haya yote yanayozungumzwa ni ya kweli na serikali inafahamu vizuri, lakini inapuuzia. Matokeo yake ndo haya tunayoshuhudia. Nashindwa kujua nini kifanyike.
 
Hivi mnajua hata wizara husika ilisha choka tangu zamani?kila mara wanabadili mfumo wa elimu na ilipo choka zaidi ni walipoamua kutoa mitihani yenye majibu ya kuchagua yote,hata asiyejuwa kusoma ameshedi vizuri,je hatafaulu?hebu Wizara husika itulie,itafakari ijaribu kuleta maboresho.Kwanza iwe na mfumo bora wa elimu na iwe vitabu vya kufundishia vya aina moja nchi nzima(kitabu cha kiada),pili kama wanafanya utafiti wa kielimu waende vijijini sio hapo Dar.penye mwl.1:wan.40,tatu waielewe Tanzania sio Dar--Dodoma kila mara mikoani na vijijini wamesahau,nne,masilahi ya Walimu yaboreshwe,madai yalipwe ,hivi wewe kiongozi kama hujalipwa madai ya kupanda daraja tangu mwaka 2010 hadi leo,utaielewaje serikali iliyosema madai yasilimbikizwe.Nakataa walimu hawana mgomo baridi,mgomo uko huko kwa hao wanaopeleka watoto wao kusoma nje kwa mishahara minono waliyojilimbikizia,ambayo ni fedha zilezile ambazo wangelipa madai ya watumishi wake.

utafiti wa kufeli unaanzia dar coz dar ndo mkoa waliofeli zaidi halafu mikoa mengine itafata,, tatizo waalimu wengi wa cku izi ni failures!!! sio madai yao yatimizwe tu kwanza waliopo wapewe test kama wakifeli hakuna ajira halafu wanaofuata waekewe limit ya marks reasonable sio izo division four za ajabu,,tikiwajali hivi hivi Tz itakua nchi inayowajali zaidi failures wake kuliko.
 
Na bado serikali isipo wajali walimu kama walivyo fanya Kenya msitegemee matokeo mazuri.Tumesema,tumegoma,tumeandamana vyakutosha sasa tumechoka.Tupo kimia tukitimiza kazi zetu tulizojipangia kama walimu juu ya ufundishaji,matokeo yake serikali itayaona.

kwani ww ni mwalimu mwenye level gani!? utakuta grade A au diploma halafu unataka mshahara mnono kama wengine akati ULIFELI. haya endelea kugoma ili tupate taifa lenye failures kama wewe halafu tuone kizazi chako kitafundishwa na nani
 
Tatizo serikali yetu siyo sikivu. Haya yote yanayozungumzwa ni ya kweli na serikali inafahamu vizuri, lakini inapuuzia. Matokeo yake ndo haya tunayoshuhudia. Nashindwa kujua nini kifanyike.

kila kitu mnalaumu serikali 😡 kuna watz kibao hawana ajira serikali inalishughulikia hilo,, bado miundombinu, maji, umeme n.k. wewe umepewa ajira unagoma bado serikali ilaumiwe kwa ww kutokufanya majukumu yako!? tatizo waalimu mnajiingiza kwenye siasa, mlishajibiwa mishahara yenu kuongezwa kwa 100% haiwezekani tatizo nn,, wakati gharama za masomo yenu ni cheap isitoshe mnapewa mkopo 100% na hadi division 3&4 za ajabu zinapewa nafasi
 
Back
Top Bottom