maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,339
walimu kila kona ya nchi hii wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea huku wakihamasishana kufelisha kwa nguvu watoto wa tanzania je wadau kizaz cha tanzania inayokuja itakuwa ya aina gani? Sasa mi naona itoshe kuanzishwa mjadala wa kitaifa kuhusu suala ya walimu hali ni mbaya sana hasa kijijini watoto wanafeshwa makusudi serikalii hii imekaa kimya je tunaweza kujidanganya kwamba hali hii haituhusu jamani. Inahitajika movement kubwa ukiacha chama chao cha CWT iliyowekwa mfukoni na serikali. Sis sote tu kazi ya mwalimu wanajamvi tukae kwa kuanzisha mjadala mkubwa kuhusus walimu. Nawasilisha.