uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Nimekupenda ❤️❤️❤️🌹Mambo mengine ni madogo mno kuyaleta humu.
Haya kauze wewe hizo karanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupenda ❤️❤️❤️🌹Mambo mengine ni madogo mno kuyaleta humu.
Haya kauze wewe hizo karanga
Mwanafunzi asiye sikiaKigego ndio nini
Mwalimu acha wivu mwenzako auze Karanga....sasa kama toto halina hata mia tatu bado linafeli si mzigo kwa Jamii yake.
Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na kuwachapa viboko wanaoshindwa kufanya hivyo.
Inadaiwa Mwalimu huyo anayefundisha Somo la Kiswahili katika shule hiyo amekuwa akitumia makosa ya Wanafunzi kama mtaji wa Biashara yake.
Inadaiwq kuwa Siku ya Aprili 23, 2024 aliingia katika madarasa ya Kidato cha Kwanza na kuanza kuwaadhibu Wanafunzi wote akidai wamefeli Somo la Kiswahili huku akiwataka kununua karanga ili wapunguziwe adhabu.
Wanafunzi walionunua karanga kuanzia za Sh 300 walisamehewa adhabu na wale walioshindwa walichapwa fimbo kuanzia 10 na kuendelea.
Wakati akitoa adhabu ya viboko kwa ambao walishindwa kununua karanga waliadhibiwa viboko zaidi ya 10 kwani aliwaalika Walimu wenzie wawili akiwemo Mwalimu OBOTE na MALIVA na kutoa adhabu kama ifuatavyo katika madarasa ya Kidato cha Kwanza A na B.
Mwalimu Mwalukasa aliwachapa viboko 7.
Sir Obote 4.
Maliva 3.
Je, ni Sawa Waalimu kufanya biashara Shuleni?
Je, ni sawa Mwanafunzi kuadhibiwa viboko zaidi ya vitatu kwa kosa anauliza Mdau?
Picha kwa msaada wa pronga69.blogspot
Dah mwanangu miaka 5 kila ukimuuliza anakuambia askari, na habadilishiKama unaweza fanya Kila namna mtoto wako asiwe mwl au polisi utakuwa umemsaidia ikibidi muelekeze kwenye biashara na maisha mengine hii kazi ajuae ni Mungu ila ni ngumu na Ina mitihani mizito sana
(By experience)It takes strong courage to live as a teacher
HongeraMimi sikuwa msumbufu,
Yah anaweza kuwa uhamiaji akiwa field force ndio basi tenaDah mwanangu miaka 5 kila ukimuuliza anakuambia askari, na habadilishi
Uko sahihi kabisa, kuna kituo kimoja hivi wanafuatiliana sana.Waalimu ni jamii yenye chuki na wivu sana na isiyopendana.
Walimu itabidi waongezwe mishahara na pia hii taaluma iheshimike again, otherwise wataendelea kuchukuliwa poa kama kawaida
Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na kuwachapa viboko wanaoshindwa kufanya hivyo.
Inadaiwa Mwalimu huyo anayefundisha Somo la Kiswahili katika shule hiyo amekuwa akitumia makosa ya Wanafunzi kama mtaji wa Biashara yake.
Inadaiwq kuwa Siku ya Aprili 23, 2024 aliingia katika madarasa ya Kidato cha Kwanza na kuanza kuwaadhibu Wanafunzi wote akidai wamefeli Somo la Kiswahili huku akiwataka kununua karanga ili wapunguziwe adhabu.
Wanafunzi walionunua karanga kuanzia za Sh 300 walisamehewa adhabu na wale walioshindwa walichapwa fimbo kuanzia 10 na kuendelea.
Wakati akitoa adhabu ya viboko kwa ambao walishindwa kununua karanga waliadhibiwa viboko zaidi ya 10 kwani aliwaalika Walimu wenzie wawili akiwemo Mwalimu OBOTE na MALIVA na kutoa adhabu kama ifuatavyo katika madarasa ya Kidato cha Kwanza A na B.
Mwalimu Mwalukasa aliwachapa viboko 7.
Sir Obote 4.
Maliva 3.
Je, ni Sawa Waalimu kufanya biashara Shuleni?
Je, ni sawa Mwanafunzi kuadhibiwa viboko zaidi ya vitatu kwa kosa anauliza Mdau?
Picha kwa msaada wa pronga69.blogspot
Kwani siku hizi wanafunzi wana vitega uchumi?Sioni tatizo Lolote, Walimu Wana changamoto kubwa sana, graduate huyo Ujue, Hana overtime wala allowance yoyote ile wakati Serikali yake imetenga Billions kununua magari
Umefika ofisi ya mkuu wa shule kutoa malalamiko yako, vikao vya wazazi je unashiriki? umewahi kuwasilisha hiyo kero.
Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na kuwachapa viboko wanaoshindwa kufanya hivyo.
Inadaiwa Mwalimu huyo anayefundisha Somo la Kiswahili katika shule hiyo amekuwa akitumia makosa ya Wanafunzi kama mtaji wa Biashara yake.
Inadaiwq kuwa Siku ya Aprili 23, 2024 aliingia katika madarasa ya Kidato cha Kwanza na kuanza kuwaadhibu Wanafunzi wote akidai wamefeli Somo la Kiswahili huku akiwataka kununua karanga ili wapunguziwe adhabu.
Wanafunzi walionunua karanga kuanzia za Sh 300 walisamehewa adhabu na wale walioshindwa walichapwa fimbo kuanzia 10 na kuendelea.
Wakati akitoa adhabu ya viboko kwa ambao walishindwa kununua karanga waliadhibiwa viboko zaidi ya 10 kwani aliwaalika Walimu wenzie wawili akiwemo Mwalimu OBOTE na MALIVA na kutoa adhabu kama ifuatavyo katika madarasa ya Kidato cha Kwanza A na B.
Mwalimu Mwalukasa aliwachapa viboko 7.
Sir Obote 4.
Maliva 3.
Je, ni Sawa Waalimu kufanya biashara Shuleni?
Je, ni sawa Mwanafunzi kuadhibiwa viboko zaidi ya vitatu kwa kosa anauliza Mdau?
Picha kwa msaada wa pronga69.blogspot
Huenda ni maelekezo kutoka kwa mwenye shule JM Kikwete, nashauri malalamiko apelekewe yeye.

Umaskini mbaya sana.

Mambo madogo hayo

Mtoa mada unaonekana una tabia za kikuda, majungu na wivu. Na walimu wa aina yako, mara nyingi ni wale wa kupenda sana kujipendekeza kwa Mkuu wa shule, na pia kuwachongelezea walimu wengine ili mfikiriwe kwenye zile fursa za kusimamia na pia kusahihisha mitihani.