S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Apr 27, 2024 #61 Hiyo ndiyo staili ambayo walimu wanatumia kufikisha ujumbe kwa Serikali! Kazi ni kwetu sisi wenye watoto!
Hiyo ndiyo staili ambayo walimu wanatumia kufikisha ujumbe kwa Serikali! Kazi ni kwetu sisi wenye watoto!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Apr 27, 2024 #62 Zabron Hamis said: Kwani siku hizi wanafunzi wana vitega uchumi? Click to expand... Fursa
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Apr 27, 2024 #63 Viboko vinasababisha walimu wanyanyase wanafunzi. Vinatengeneza mazingira mabaya sana. Kuna mwalimu wetu wa shule ya msingi alikuwa anaogopeka sana kwa fimbo, akatumia kuogopeka huko kutaka kumbaka mwanafunzi ofisini.
Viboko vinasababisha walimu wanyanyase wanafunzi. Vinatengeneza mazingira mabaya sana. Kuna mwalimu wetu wa shule ya msingi alikuwa anaogopeka sana kwa fimbo, akatumia kuogopeka huko kutaka kumbaka mwanafunzi ofisini.