Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi


Uislamu umeingiaje tena hapa ewe ndugu yangu katika binadamu!!,, ninyi ndio maana huwa nawachana laiv
 
Ukiwa na akili timamu huwezi kufanya kazi kwa Muhindi never, ndio maana kila kitu chao wanatakaga wafanye wenyewe hao viumbe ni majanga, Ogopa mtu ambaye anaamini ng'ombe kama mungu wake

Wahindi wengi wao wana roho mbaya,,na hata waafrika wapo wenye roho mbaya, tena wengi tu. Kuna kabila moja sitalitaja, ni wabaguzi wakutupwa, akipewa kaumeneja basi atawavuta watu wake/kabila lake kuwapa kazi. Kwahiyo kabla kuanza na wahindi, tuanze na hawa wakwetu.
 
Hivi kuna watu wabinafsi na wabaguzi bongo kama wazenji..?hao jamaa wanapenda vya dezo wakiwa Tanganyika ila wakiwa kwao wanakumbatia hawataki mwingine apate vya kwao hususani ardhi..tuanze na hawa pia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umenikumbusha yule Kanjibayi tajiri sana TZ anayewalipa wasomi wenye bachelor degrees mishahara ya 300, 000/= kwa kila mwezi [emoji16]
Mwajiri anataka kujua usomi wako au anataka ufanye kazi yake akulipe tena kwa kuangalia soko la ajira
 
Misingi ya kikoloni ilishaweka hiyo mizizi, jitihada za ziada zinahitaji kupindua meza kwa kweli
 

Mkuu mbona Aga Khan Polyiclinic ya pale Mbezi Beach wanapokea Bima ya NHIF?
 
Nijibu mimi hapo, suala la kuthaminiwa au la kutothaminiwa lipo moyoni kwa Mtu. Wewe mwenyewe kwenye ukoo wenu unaweza kukuta kuna Mtu hakuthamini. Napinga ubaguzi sana, ila sipendi kutumia hiyo card ya ubaguzi na mimi kubagua. Rostam wazazi wake wana asili ya Uajemi, hakuchagua kuzaliwa Tanzania ila alijikuta Babu zake wamezaliwa Tanzania.

Kwenye mijadala hii ya ubaguzi usipokuwa makini tutaishia kulalamika tu na tusiweze kutatua jambo lolote. Kuita kampuni Caspian ni uchaguzi wa Mtu, kuna Mswahili mwenzetu kampuni yake aliita IPP kuna mwingine Mweusi mwenzetu ataiita kampuni yake Johnson Company Limited. Hujaona kampuni ya gesi na ngozi ya Rostam inaitwa TAIFA! Inawezekana hata katika majina yako matatu halikosi jina la 'Derick' au 'Abdallah.
 
Hapo ni shule ambako wapo wasomi, hali ikoje huko masite, hali ikoje huko viwanadani?
Hii nchi ni yetu hawapaswi kutunyanyasa
 
Kilichowapeleka hapo ni nini?
 
Kilichowapeleka kwa mhindi ni njaa zao..

Walifuatwa kwao wakaja kunyanyaswa?
 
Ukitaka kujua wa Tz wenyewe nao wana shida usiende mbali nenda SA tu ndo utajua wa Tz siyo watu wa kuwaamini, mtu unampa kazi hataki kujituma anawaza ni jinsi gan akuibie au kukuhujumu tunapenda shortcut na kupenda kufanyiwa fair
 

Kwangu mimi Ubaguzi ni muhimu, bila ya ubaguzi utabaguliwa, ubaguzi siyo mbaya na hapa sisi kama Watanzania weusi ni lazima tujifunze kujiweka mbele kwanza ya kila asiye mweusi kama sisi kwani wengine wote wanafanya hivyo na ndio maana hakuna Muhindi yoyote au Mwarabu ambao mnawatetea kuwa ni“Watanzania“ wana uhusiano wowote ule na wewe au mimi ukiondoa business na hata hiyo yenyewe ni lazima utakuwa na cheo Serikalini au kwenye Shirika la Umma ambapo anajua atakutumia na kukudanganya afaidike lkn linapokuja swala la Familia au urafiki wa maana na wa kudumu wako wao kwa wao wanaoana wao kwa wao wanaishi kwenye maeneo yao na hata wako loyal kule walipotoka na ndo maana kaita Kampuni yake Caspian, ulishawahi kujiuliza Wahindi waliojazana sasa hivi kwenye Viwanda wanatokea wapi na nani anawaleta ? Siongelei waliozaliwa hapa naongelea wanaotokea India leo na kuja kufanya kazi viwandani, nani anawaleta kama hawa akina Mo ni Watanzania wenzenu kama mnajilazimisha kuamini?
 
Ukoloni ulishawafanya wahindi wawe second class citizens na waafika third class citizens.

Hata utawala wa nchi unaona hivyo, ndio maana hizi kesi za ubaguzi zinapotezewa.

Hakuna muhindi anaempenda muafrika, iwe kwenye malipo, heshima na utu.
Muhindi na sisi hatuna tofauti sn kudharaulika duniani hila sisi ndio wanyonge wake hila ukienda Dubai huko mabeki tatu wahindi wakishapata hela wakija Africa na wao ndio wanalipiza kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…