Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

Serikali ifanyie kazi suala hili, wahindi ni wabuguzi sana hasa kwenye mishahara na unyanyasaji wa kitumwa.
 
Tena hiyo black empowerment ndiyo balaa zaidi. Watatajirika 'weusi' wenzetu wachache na dinner wanakutana na hao weupe kupiga stori (kwa sababu ndiyo level yao).

Hapa Tanzania alikuwepo mmoja mpigania uzawa na Mzee wetu marehemu. Kuna wakati alipigapiga sana kelele, Rais Mwinyi kipindi hicho akampa kiwanja hapo ilipo Serena Hotel, baada ya muda akawauzia haohao aliokuwa akiwalaumu!
Mzee wa magabachori au nani?
 
Watanzania >98% ni Wabantu, hivyo ubaguzi kwangu mimi ni upendeleo wa Makusudi kwa majority, kwa maana nyingine Uchumi na fursa hapa Tanzania ni lazima ziende kwa Watanzania wenye asili ya hapa ambao ndio wengi, sisi weusi ndio tumiliki njia kuu za Kiuchumi na minority kama Waarabu, Wahindi, Wazungu, Wachina na wengineo wasio asili ya Afrika wawe chini yetu na hilo linawezekana tu kama kukiwa na hatua za makusudi kabisa kutoa upendeleo kwa watu wetu kwenye kila kitu kuanzia mikopo benki, ajira, uongozi mpaka kwenye Sanaa na Michezo timu zetu zimilikiwe na sisi na siyo Waasia au Waarabu kama ilivyo leo hii, huo ndio ubaguzi ninaouongelea.

Na Nchi zote zilizoendelea Dunia zimefanya hivyo, unafikiri kwa nini AK kuna Black empowerment Programm iliyoanzishwa na Serikali ya Thabo Mbeki ?
Hiyo aslimia 98 Wabantu umeipata wapi? Mikoa wanakopatikana wasiyo Wabantu kwa wingi sana ni sita na kati ya hiyo Mikoa mitatu ipo top ten ya mikoa yenye idadi kubwa ya Watu Tanzania, kwa hiyo takwimu zako ni za kibaguzi. Ndiyo maana nikakwambia ubaguzi haupingwi kwa ubaguzi, si unaona sasa umeingia sasa kwenye Ubantu dhidi ya wengine, kwa hiyo kwako Maasai mweusi si mwenzako;

1. Arusha kuna Nilotes na cushites ( Masai, Datoga, Sonjo, Iraqwi nk)
2. Kilimanjaro kuna nilotes Masai
4. Manyara kuna nilotes na cushites (Iraqwi, Fyomi, Maasai, Barbaigi, Hazabe, Sonjo, Gorowa nk)
5. Dodoma kuna cushites, khoisan (Burungi, Sandawe)
6. Mara kuna Nilotes (Luo)
 
Solution ni kuwaachia shule yao na kufanya mishe nyingine.
Hizi ajira za watu binafsi zina ujinga mwingi sana.
 
Kwani lazima wafanye kazi hapo..si waache kama wanaona wanabaguliwa
 
Mi siwashangai hao jamaa wanaojionaga weupe kutubaguwa ndo tabia yao,nakumbuka wakati nasoma nao kuna jamaa alikuwa anaitwa Khan jamaa hakuwai kujuwa kusoma na kuandika mpaka tunamaliza kidato cha tatu wakamuamisha shule, ila kwa sasa jamaa ni Daktari mkubwa pale Aga Khan hospital kama Doctor
 
chanzo hapo ni uvivu, wizi na majungu ya wabongo katika sehemu za kazi
 
Nafurai sana mbaguliwe Tena muulize shenzi kabisa siwezi tetesi watu weusi ni kuwabagua tu hata kama mm ni mweusi Tena Mtanzania napenda mkibaguliwa mukome Tena muuliwe kabisa

Maana ni washamba wenyewe kwa wenyewe kwa ukabila na udini ndo wenyewe ,baadhi ya mikoa wanajiona wanajua sana maendeleo zero kelele eti elimu nataka sana mbaguliwe Ili mujue machungu ya kubagua wenzenu kweny ajira kwa kuleta ukanda na udini
 
Acha jaziba, pumua kwanza uandike vizuri huenda una jambo la msingi tunataka kujua kilichokusibu
 
Acha jaziba, pumua kwanza uandike vizuri huenda una jambo la msingi tunataka kujua kilichokusibu
Kweli namaanisha mimi nikibaguliwa na mzungu sijui muhindi ,mwarabu au mchina naona SAWA ila tu maana sio jamii yangu na Wala haitotokea mm kuwa kama wao maana mi mweusi

Sasa baadhi ya watanzania ni wabaguzi kitu kinauma Sana mi nishawai kusoma na wahindi sikuwa na mazoea nao kabisa Sina time nao kabisa ila kitu kibaya advance nilisoma na majitu ya Kanda fulani mabaguzi kinoma na tulikuwa tunayaburuta kujifanya majuaji Kila siku mabishano eti wao Wana elimu Sana majinga sana baadhi ya watanzania hasa Kanda fulani
 
Mi siwashangai hao jamaa wanaojionaga weupe kutubaguwa ndo tabia yao,nakumbuka wakati nasoma nao kuna jamaa alikuwa anaitwa Khan jamaa hakuwai kujuwa kusoma na kuandika mpaka tunamaliza kidato cha tatu wakamuamisha shule, ila kwa sasa jamaa ni Daktari mkubwa pale Aga Khan hospital kama Doctor
Acha uongo, hamna Doctor Khan anayefanya Aga Khan. Yuko kitengo gani? Ni specialist? Specialist wa nn?
 
Back
Top Bottom