DOKEZO Walimu Shule ya Mpanda Day wanalazimisha wazazi tulipe hela ya ‘twisheni’ wakati wa likizo

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tafadhali, lipa mwanao apate elimu ambalo ndio lengo kuu. Yaani lengo lifikiwe kwa njia yoyote ile. Yaani syllabus ya form IV ndani ya mwezi mmoja, ingawaje ni mwaka wa mtihani kwa sehemu kubwa ni marudio.
Unafungua hii code?
Waache wasiotaka wanao wakae nyumbani wakati viuno nyimbo za zuchu na kukaa live kwenye tiktok.
 
Mkuu wewe na wenzako ni wapumbavu samahani Lakini

Shilling 10k inakutoa roho Tena ukute masomo yanayo enda kufundishwa ni phy chem bio na basic M
jitu linalia mpaka mitandaoni no wonder mikoa ya kaskazin wamefanikiwa kuliko uko machakan mnawaza uchawi muda wote

Shtuka we bwiga "no free lunch"
 
Sasa mnatak wale wapi,
Hakun mafanikio bila gharama wew maskn mwenzangu
 
Hawa watu wanashangaza kweli. Bure ishawalemaza.
 
Cha kufanya msilipe, waacheni watoto wakae muwakomoe hao walimu.
 
Elimu ni bure kwa masaa ya kazi, likizo ni ziada kwaiyo wasione wanaonewa, wasipende kulalamika kila kitu cha muhimu ni kushukuru kwa walimu kukubali kujitolea masaa ya ziada. Kwenye shule mnalalamika ila nje uko mnatoa fedha, kwanini? Muhimu ni kushukuru maana muda wa likizo mwalimu huwa hausiki. Asante
 
Mzazi hawezi kukosa elfu tano bali ni ulimbukeni tu. Elimu bure ni kwenye ada ila kwenye maendeleo ya shule lazima uchangie
 
Hakuna vikao vya wazazi huko shuleni mkuu? Kama kitu wazazi hawajakiridhia pelekeni si kuna uongozi wa wazazi pelekeni malalamiko wamfate mkuu wa shule wamwambie wazazi hawataki.
Mwisho wa siku ni kwa manufaa ya watoto wenu hiyo hela ni ndogo sana ukilinganisha na anachopata watoto wenu.
 
Kumbe humu hata fomu silii wamo 😀
 
Nyie nanyi mnalia lia sana?
hio hela ya Tuisheni ni milioni ngapi wanaowalazimishia?usikute ni elfu 3 unalia mpk huku,unataka walimu wakale wapi sasa
 
Tanzania hua hatuelewi,tunakariri
Sasa wewe uelewe Mambo ya kinjekitile ngwale yatakusaidia nini?
Kariri faulu,tembea mbele 😄
 
Mzazi hawezi kukosa elfu tano bali ni ulimbukeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…