DOKEZO Walimu Shule ya Mpanda Day wanalazimisha wazazi tulipe hela ya ‘twisheni’ wakati wa likizo

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tafadhali, lipa mwanao apate elimu ambalo ndio lengo kuu. Yaani lengo lifikiwe kwa njia yoyote ile. Yaani syllabus ya form IV ndani ya mwezi mmoja, ingawaje ni mwaka wa mtihani kwa sehemu kubwa ni marudio.
Unafungua hii code?
Waache wasiotaka wanao wakae nyumbani wakati viuno nyimbo za zuchu na kukaa live kwenye tiktok.
 
Kinachoendelea Shule ya Sekondari Mpanda Day, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni kinyume cha Sheria, Serikali imetangaza elimu bure kidato cha kwanza mpaka cha nne, lakini Wanafunzi wa kidato cha tatu wanalazimishwa kulipa pesa ya tuition ili waweze kufundishwa maada zote za kidato cha nne kipindi cha likizo.

Wanafunzi ambao hawatalipa hawapati haki ya kufundishwa hizo mada hata baada ya shule itakapofunguliwa kwa maana baada ya likizo ya Desemba.

Naomba Afisa Elimu atusaidie hili kwani Wazazi tunaumia kwa kinachoendelea, Watoto wanakosa Haki ya Msingi na pia ni wajibu wa Walimu kufundisha Wanafunzi.

Kinachoendelea Wanafunzi wameambiwa watoe pesa ya tuition ili wafundishwe kipindi cha likizo ya Desemba, ambaye hatatoa imekula kwake, maana mwezi wa kwanza hawatarudia kufundisha mada za Kidato cha Nne katika vipindi vya darasani.

Tunaomba Serikali itusaidie kwenye hili, kwani ikitokea mzazi una changamoto ya kifedha Desemba hii inamaanisha mwanao naye atayumba kielimu.
Mkuu wewe na wenzako ni wapumbavu samahani Lakini

Shilling 10k inakutoa roho Tena ukute masomo yanayo enda kufundishwa ni phy chem bio na basic M
jitu linalia mpaka mitandaoni no wonder mikoa ya kaskazin wamefanikiwa kuliko uko machakan mnawaza uchawi muda wote

Shtuka we bwiga "no free lunch"
 
Sasa mnatak wale wapi,
Hakun mafanikio bila gharama wew maskn mwenzangu
 
Hivi nyie mtaacha ujinga lini?

Anafundishwa mwanao kwa maslahi ya familia yako unakuja kulialia humu. Watoto wa viongozi wanaosoma shule za St kunani pamoja na mamilioni ya ada wanayolipa lakini wakiambiwa wator mchango huwa wanaotoa chap. Huku kwenye shule zetu za St mbwiga unaambiwa elimu bure ila ukiambiwa mchango wa elfu kumi tu tayari ushaanza kelele.
Endeleeni kukaa na ujinga wenu hadi akili ziwakae sawa.
Ndio maana hakuna mtoto wa kiongozi anasoma huko St mbwiga.. huko St mbwiga tunatengeneza wapiga kura ( mbwiga wa kiwango cha lami) huku sisi watoto wetu tunawatengeneza waje kuwa viongozi wenu huko St mbwiga.
Hawa watu wanashangaza kweli. Bure ishawalemaza.
 
Cha kufanya msilipe, waacheni watoto wakae muwakomoe hao walimu.
 
Elimu ni bure kwa masaa ya kazi, likizo ni ziada kwaiyo wasione wanaonewa, wasipende kulalamika kila kitu cha muhimu ni kushukuru kwa walimu kukubali kujitolea masaa ya ziada. Kwenye shule mnalalamika ila nje uko mnatoa fedha, kwanini? Muhimu ni kushukuru maana muda wa likizo mwalimu huwa hausiki. Asante
 
Ila hii sio haki inamaana wale wasiokuwa na pesa hizo topic ndo zishawapita. Kwakwel hili suala liangaliwe vizuri hawa walimu ni jukumu lao la msingi kuwafundisha hawa wanafunzi bila kujali malipo kwani mishahara wanalipwa na serikali sasa kwanini hawaridhiki.
Nakumbuka kna mwalimu mmoja wa physics kipnd nasoma alikuwa na tuituon yake mahali,. Hivyo kuna topic alikuwa haufundishi darasani anafundisha kwenye tuition yake ty, na kutushinikiza kama tunakata kusoma hizo topic bas tujiunge na tuition yake vinginevyo nd ushapitwa hivyo. Na katika mtihani anatoza hizohizo topic ananzofundisha huko, na kutuadhibu vikali tukifeli
Mzazi hawezi kukosa elfu tano bali ni ulimbukeni tu. Elimu bure ni kwenye ada ila kwenye maendeleo ya shule lazima uchangie
 
Kinachoendelea Shule ya Sekondari Mpanda Day, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni kinyume cha Sheria, Serikali imetangaza elimu bure kidato cha kwanza mpaka cha nne, lakini Wanafunzi wa kidato cha tatu wanalazimishwa kulipa pesa ya tuition ili waweze kufundishwa maada zote za kidato cha nne kipindi cha likizo.

Wanafunzi ambao hawatalipa hawapati haki ya kufundishwa hizo mada hata baada ya shule itakapofunguliwa kwa maana baada ya likizo ya Desemba.

Naomba Afisa Elimu atusaidie hili kwani Wazazi tunaumia kwa kinachoendelea, Watoto wanakosa Haki ya Msingi na pia ni wajibu wa Walimu kufundisha Wanafunzi.

Kinachoendelea Wanafunzi wameambiwa watoe pesa ya tuition ili wafundishwe kipindi cha likizo ya Desemba, ambaye hatatoa imekula kwake, maana mwezi wa kwanza hawatarudia kufundisha mada za Kidato cha Nne katika vipindi vya darasani.

Tunaomba Serikali itusaidie kwenye hili, kwani ikitokea mzazi una changamoto ya kifedha Desemba hii inamaanisha mwanao naye atayumba kielimu.
Hakuna vikao vya wazazi huko shuleni mkuu? Kama kitu wazazi hawajakiridhia pelekeni si kuna uongozi wa wazazi pelekeni malalamiko wamfate mkuu wa shule wamwambie wazazi hawataki.
Mwisho wa siku ni kwa manufaa ya watoto wenu hiyo hela ni ndogo sana ukilinganisha na anachopata watoto wenu.
 
Kinachoendelea Shule ya Sekondari Mpanda Day, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni kinyume cha Sheria, Serikali imetangaza elimu bure kidato cha kwanza mpaka cha nne, lakini Wanafunzi wa kidato cha tatu wanalazimishwa kulipa pesa ya tuition ili waweze kufundishwa maada zote za kidato cha nne kipindi cha likizo.

Wanafunzi ambao hawatalipa hawapati haki ya kufundishwa hizo mada hata baada ya shule itakapofunguliwa kwa maana baada ya likizo ya Desemba.

Naomba Afisa Elimu atusaidie hili kwani Wazazi tunaumia kwa kinachoendelea, Watoto wanakosa Haki ya Msingi na pia ni wajibu wa Walimu kufundisha Wanafunzi.

Kinachoendelea Wanafunzi wameambiwa watoe pesa ya tuition ili wafundishwe kipindi cha likizo ya Desemba, ambaye hatatoa imekula kwake, maana mwezi wa kwanza hawatarudia kufundisha mada za Kidato cha Nne katika vipindi vya darasani.

Tunaomba Serikali itusaidie kwenye hili, kwani ikitokea mzazi una changamoto ya kifedha Desemba hii inamaanisha mwanao naye atayumba kielimu.
Kumbe humu hata fomu silii wamo 😀
 
Nyie nanyi mnalia lia sana?
hio hela ya Tuisheni ni milioni ngapi wanaowalazimishia?usikute ni elfu 3 unalia mpk huku,unataka walimu wakale wapi sasa
 
Wewe ni mpumbavu sana tena sana, yaani watoto wakasome masomo ya f4 kwa mwezi mmoja wa likizo kwa lazima hiyo ndo elimu? Unajua maana ya elimu?
Kuelimisha kuna utaratibu wake kama wewe ulikariri tuisheni kwa masomo ya mwaka mzima ukafundishwa kwa mwezi mmoja ndo unadhani una elimu? Wewe ni mjinga kuzidi hao unaowaambia wajaribu ujinga

Acha watoto waende likizo ndo utaratibu wa elimu.
Tanzania hua hatuelewi,tunakariri
Sasa wewe uelewe Mambo ya kinjekitile ngwale yatakusaidia nini?
Kariri faulu,tembea mbele 😄
 
Ila hii sio haki inamaana wale wasiokuwa na pesa hizo topic ndo zishawapita. Kwakwel hili suala liangaliwe vizuri hawa walimu ni jukumu lao la msingi kuwafundisha hawa wanafunzi bila kujali malipo kwani mishahara wanalipwa na serikali sasa kwanini hawaridhiki.
Nakumbuka kna mwalimu mmoja wa physics kipnd nasoma alikuwa na tuituon yake mahali,. Hivyo kuna topic alikuwa haufundishi darasani anafundisha kwenye tuition yake ty, na kutushinikiza kama tunakata kusoma hizo topic bas tujiunge na tuition yake vinginevyo nd ushapitwa hivyo. Na katika mtihani anatoza hizohizo topic ananzofundisha huko, na kutuadhibu vikali tukifeli
Mzazi hawezi kukosa elfu tano bali ni ulimbukeni.
 
Back
Top Bottom