Walimu Shule ya Msingi Chanika, acheni kuwafungia darasani watoto wasiotoa mchango wa chakula

Ninachojua shule hakuna chakula kizuri,kitamu,kibichi wala kilichoiva. Au kwasababu hyo shule ipo daslam?
 
Sasa haya malalamiko yako ya watoto kula chakula kibichi, si ungeyapeleka huko shule ili hiyo kasoro irekebishwe?

Au unataka tukufahamu ya kuwa una uwezo wa kumpa mtoto wako hela ya kununulia chakula tofauti na hicho kinachopikwa shule?
 
Aisee
 
Ninachojua shule hakuna chakula kizuri,kitamu,kibichi wala kilichoiva. Au kwasababu hyo shule ipo daslam?
Yani mkuu wazazi wa kipindi hiki wanamalezi mabovu kweli kwel sisi tumesoma boarding huko tumekula vibichi matumbo yakauma na tumepona tuko hapa leo
 
Kwakuwa hela zinaokotwa ....
 
Uko sahihi.wasio kuelewa ni wale wasiojali.Wenzetu ngozi nyeupe zinajali sana malezi ya vizazi vyao ndio maana wengi wao wanajielewa nakujisimamia.uku kwetu mtu anaambiwa changamoto inayomgusa mtoto anaona sawa tu.Ikitokea wamezurika tunakua wa kwanza kulaani.Lakini pia kama kweli hao wanafunzi wanafungiwa sio sahihi.Wahusika wafwatilie.Tujifunze kupenda nakuthamini vinavyotuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…