Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Na kurogana wenyewe Kwa wenyewe.Kuna wilaya Fulani naihifadhi huko Tanga walimu hasa wa Msingi wanarogana ofisi Hazina Amani.Wanachukuliwa hatua Kali na wakubwa wao kisa uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuroganaHaya sio ya kuleta humu kama una ushahidi peleka panapohusika tatizo la walimu ni majungu tu.
[emoji106][emoji106]Siku utakapo zaa binti wa kike ndyo utajua nn mleta mada kaleta
Naunga mkono hoja uchunguz ufanyike
Wanaojibu kejeli juu ya bandiko hili weng n watoto wasio na familia
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2]Ona hii ng'0mb3
[emoji106][emoji106]YUKO SAHIHI..
Mwalimu amelileta hapa ili wazazi tupate fursa ya kujifunza MAMBO YA HOVYO ambayo wanafanyiwa vijana wetu huko mashuleni, ASIPUUZWE.
HABARI YA WANABODI?
Kuna huu upumbavu, umenikera. Hebu tusaidiane kuutatua.
NI JUU YA WAALIMU MALAYA WA BUTIMBA SEKONDARI-MWANZA
....Mwalimu mwanzalima na mwalimu paul....(JELA INAWAITA)
Mwalimu wa Butimba sekondari wiki hii alitaka kumbaka mwanafunzi ila Mungu saidia aliweza kumponyoka na kukimbia.
Mwanafunzi huyo wa kike sketi yake ilichanika, ilikuwa masomo ya saa tisa hivi.
Mwanafunzi alienda moja kwa moja kwa mama yake na kumjuza juu ya tukio hili. Mzazi alitoa taarifa kwa kiongozi mmoja wa chama na kiongozi wa chama akaijuza serikali na serikali ikamtuma afisa elimu wa wilaya ya Nyamagana kutatua mgogoro huo.
Mwalimu aliohijwa ila alikana kabisa kuhusika na tukio hilo.
Kikao cha mkuu wa shule na walimu pia hakikuzaa matunda, mwalimu bado alikana kata kata kuhusika na tukio hilo.
Mkuu mpya wa shule alimuita mzazi wa binti huyo wakaongea nae kwa kumpoza ili suala liishe, na hakika kwa mzazi na mwanafunzi ni kama limeisha.
Timu ya afisa elimu wamesema watapeleleza zaidi kuufahamu ukweli.
HALI YA SASA YA MWALIMU ALIYETAKA KUBAKA
Tangu timu ya afisa elimu kusema watalifanyia uchunguzi, mwalimu ameonekana akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike akiwa na sura ya hofu kana kwamba kuna kitu anataka kuficha.
TUKIO HILI LILITOKEAJE?
Kwa ufupi walimu hao wawili ofisi yao ni maabara ambayo ina magrill na mapaazia mazito.
Mwanafunzi huyu aliitwa na mwalimu huyo kuchukua mtihani wake.
Mwanafunzi huyo alienda, mashuhuda wawili wanazidi kusimlia.
Mwanafunzi alipoingia, pazia lilishushwa. Gafla wakaskia kelele kama ugomvi, niache, niache. Dakika sio nyingi, vitu kama vinadondoka ndani, ndipo mwanafunzi akatoka akikimbia huku kashikilia sketi imechanika. Moja kwa moja akaenda nyumbani
Binti huyu anasema mwalimu huyu amekuwa akimtongoza tangu kidato cha kwanza.
MWALIMU MWINGINE
Mwalimu mwingine huyu, anaekaa maabara. Mwenye sifa kama mwalimu wa kwanza. Huwaita wanafunzi na kuwawekea mziki kwenye smart phone na wanafunzi kuanza kucheza.
Mara kadhaa huwashika makalio na matiti na baadhi yao huwapa miadi wakutane siku za Jumamosi au Jumapili.
MHANGA MMOJA ANASIMULIA
Mwanafunzi mmoja wa kike, form one alichukizwa na kitendo cha mwalimu huyu, alimshika matiti na makalio. Alienda na kusema kwa mzazi.
Mzazi alilipeleka kwa mkuu wa shule, kikao kiliwekwa na mwalimu alionywa ingawaje hakukubali kosa.
Mwanafunzi huyu kaandamwa sana na walimu hawa wawili kwa manyanyaso ya kijinsia hadi anaomba ahamishwe shule. Ni matusi kwake na kejeli . Kwamba, umeshtaki imesaidia nini? Kwani hujawai kufanya?
Inauma sana.
YUPO MWALIMU ALIWAHI KUOA MWANAFUNZI BUTIMBA
Yupo mwalimu, alimpiga mimba mwanafunzi akiwa form 3, wazazi walimlazimisha amuoe na mpaka sasa alimuoa na hakuna hatua ya kisheria iliyochukuliwa kwa mwalimu huyo.
MKUU WA SHULE ALIYEAMIA MKOLANI SEKONDARI ANAJUA HAYA.
Aliwahi kumshuhudia mwalimu wa kiume amemkumbatia mwanafunzi maabara kimapenzi ila hakufanya lolote.
KIKAO CHA WAZAZI JANUARI
Mkuu wa shule mpya aliitisha kikao januari, suala la uzinzi wa walimu lilisemwa, ila hakuna hatua stahiki zilizo chukuliwa.
Wenye mamlaka nendeni karejee minutes za kikao cha Januari cha wazazi mtajua.
WAZIRI WA ELIMU NA TAASISI HUSIKA
Hili limezidi, linawakwaza waalimu, sana sana wa kike. Kwasababu hakuna hatua stahiki zinazo chukuliwa.
Mkishindwa kazi zenu, tutawasaidia. Haiwezekani mabinti wanyanyaswe kingono wapumbavu nyie mpo.
Imagine anafanyiwa mwanao, utajisikiaje?
USHAURI
Ni kazi rahisi, TAKUKURU, wekeni mtego, mtawashika hawa wapumbavu wote asubuhi na mapema. Kuanzia mkuu wa shule anayelea mpaka hao walimu wanaoacha wake zao na kutafuna watoto.
Nawasilisha.
MREJESHO MUDA HUU( SAA 2 KAMILI)
Tumbo ni joto kwa mukulu wa kaya hapa kituoni(skuli butimba).
Naona mkulu anaita vitoto vyote vya kike shule kuviambia vifunguke. Viseme changamoto vinazopitia na ikiwezekana viwataje waalimu tunaokula wanafunzi.
Usijikoshe kijinga mkulu. Huo muda mbona unao siku nyingi sana?
Subiri rungu zito kabla ya jua leo kuzama.
Ushauri ninaoweza kukupa, wape karatasi wanafunzi waandike majina ya sisi waalimu tunaowakula, tofauti na hapo, najiandaa kuchukua kiti chako.
Kituo kimekushinda. Maana, rafiki yako mkubwa ndie anakuzunguka kwa ushauri wa kijinga.
Ona unavyohaha sasa.
Mshkuru mkuru wa kituo cha dodoma kukutonya. Ira ariyesanua hili usihangaike kumtafuta. Tupo kituo kimoja, hapa hapa.
Ukiweza, chukua simu ya kila mmoja utamjua mbaya wako.
YALIYOJIRI KWA UFUPI SIKU NZIMA SKULI
1. Wanafunzi wa kike andikeni majina ya walimu wenye tabia hizo mbovu. Usiandike jina ili tuwabaini.
Kuna matcha wametisha wametajwa na jinsia kee kama wote.( shoo ilismamiwa na mkulu wa skuli).
2. Afisa mwajiri mida mida akatimba.
Maelezo yakachkuliwa kwa mhanga. Nao mashahidi wakanyoosha maelezo. Mwishowe bhana, sket iliyochanika si ilishonwa nyumbani?
Kwaiyo ushahidi hakuna, ivyo kesi hakuna. Hahaha......
Hebu kwasasa niishie hapa. Ila waalimu wengi tumo humu wa butimba hadi twafahamiana kwa miandiko.
Acha nishibe nianze mtaja mmoja mmoja kwa id zenu. Maana akat mkuu katueka kikaangoni tulikana kutohusika.
Mungu anatuona. Tutalipwa ujira wetu.
YAANI MWANAFUNZI KUSHONA SKETI ILIYOCHANWA KATIKA TUKIO LA KUJARIBU KUBAKWA KAFUTA USHAHIDI?
NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE?
CC::
KATIBU MWAJIRI WILAYA NY'GANA
AFISA ELIMU
much point mtumishi makazini kuna.majungu sanaa.Hapa unakuza mambo na kudharirisha wenzako. Mimi ni Mtumishi wa umma na katika harakati za maisha nishawahi fanya kazi ya ualimu.
Vitendo hivyo ni kweli vipo na vinavyofanywa na walimu na sio vizuri ila hapa unakuza kusema hao walimu wanaogopwa. Hakuna kitu kama hiko. Kama kuna ushahidi watakamatwa ila nionavyo unachoandika hapa ni Majungu.
Shuleni kuna Majungu sana na walimu wanawachomekeaga walimu wenzao kutembea na wanafunzi. Nimeona mara 2 kwenye shule tofauti haya mambo hususani pale mwalimu wa kiume akimtenda/kataa mwalimu wa kike wa shule hiyohiyo ndio hutengenezwa Majungu ya namna hiyo. Marafiki zangu wawili wameshawahi pitishwa kwenye Majungu ya namna hii japo mmoja Bwana Ramadhani ni alikuwa anatembea na mwanafunzi na alipowekewa mtego, jamaa akameza kondomu aliyoitumia akiogopa kula mvua 30.
Hicho kirai kilichokolezwa wino (bolded) ndiyo mzizi wa fitina na wala siyo tuhuma zenyewe.Ushauri ninaoweza kukupa, wape karatasi wanafunzi waandike majina ya sisi waalimu tunaowakula, tofauti na hapo, najiandaa kuchukua kiti chako.
Hicho kirai kilichokolezwa wino (bolded) ndiyo mzizi wa fitina na wala siyo tuhuma zenyewe.
Ndugu Mwalimu, ninadhani chuoni ulifundishwa kazi tatu za msingi (kufundisha, kupima na kutoa ripoti/matokeo ya upimaji).
Mambo ya uongozi ni matokeo ya utendaji wako wenye mwonekano chana na si vinginevyo.
Ninakushauri usiwe limbukeni wa tehama.
Tuiza kichwa fanya kazi. Acha majungu.
Ndiye huyu mhusika?
Yaan...acha tyuuu....Mapazia maabara ...wakichanganya madawa yakawashinda ukatokea moto usalama unakuwaje
Asante sana ALT. Kuna watu wana mawazo ya kishetani humu. Wanakushutumu kwa ku-expose uchafu. Usikate tamaa. Giza haliwezi kushinda nuru.
hili ni janga lingine
unajua mtoto yupo na mwalimu wake kumbe ana fanyiwa ufuska
Jamani ikiwa watachunguzwa na kugundulika ni kweli basi atakuwa sahihi. Ila butimba sekondari wanafunzi wakike wanateseka sana. Kuna walimu,askari magereza na wanachuo wa butimba TTC wote wanataka utamu kutoka kwao.
Nimekuelewa my.Uxchngz umebain mhusika alifanya tukio...ila xhda, wa kuxoma alipokimbia nymban, alixhona skt, ivo, tume ikaxema....wa kuxoma alipteza uxhaid. Kwa maana iyo, angekja skul bla kuxhona skit, uxhaid ungdkuepo ivo, hatua ingexhkuliwa. Upo wang?
Wewe unaunga mkono tu hoja bila kuitafakari kwa undan mwandishi anaonekana kuwa biased sana haijalish mimi ninao watoto wakubwa tena wameshapita huko sekondari lakin nafaham sana makazini humo hasa walimu jinsi gani walivyo ndiyo maana kwa upande wangu ninaona kwamba mleta maada hakufikiri kabla ya kutenda
Nimekuelewa my.
I bet huyo bwege ni mwalimu tena wa hapohapo Butimba.