Walimu Shule ya Sekondari Butimba na kashfa ya kujihusisha kimapenzi na Wanafunzi

Hata kama ni uongo, % kubwa kuna ukweli.
Wilayan wanajua ni ukwel aslmia xteeeeee....walim wenxang wanajua ni ukwl axlmia xteeeee....xema si walim wteee weny tabia hziiii...wapmbav wachach ambao wanarusha matux kwa sredi hii...mkipon hpa....kaxchnjen na katambken kwennnn.....
 
Mashuleni huko ukikatana na madam mwenye stress za mapenzi afu umeingia kwenye mtego wa wanafunzi hua anafurahia, anataman hata ufungwe kabisa
 
Wilayan wanajua ni ukwel aslmia xteeeeee....walim wenxang wanajua ni ukwl axlmia xteeeee....xema si walim wteee weny tabia hziiii...wapmbav wachach ambao wanarusha matux kwa sredi hii...mkipon hpa....kaxchnjen na katambken kwennnn.....
UNAWEZA UKAWA NA HOJA, ILA;

Kwa mwandiko huu wewe ni demu kicheche wa maeneo ya Chrismas Tree Hotel, Rehema ya Mungu na Mtera Lodge/hotel karibu na Royal Pub, Clevaland bar au pale Kahungwa gesti.

Facebook na instagram ndio mahali pake kwa mwandiko huu.
 
HABARI YA WANABODI?

Kuna huu upumbavu, umenikera. Hebu tusaidiane kuutatua.

NI JUU YA WAALIMU MALAYA WA BUTIMBA SEKONDARI-MWANZA

....Mwalimu mwanzalima na mwalimu paul....(JELA INAWAITA)

Mwalimu wa Butimba sekondari wiki hii alitaka kumbaka mwanafunzi ila Mungu saidia aliweza kumponyoka na kukimbia.

Mwanafunzi huyo wa kike sketi yake ilichanika, ilikuwa masomo ya saa tisa hivi.

Mwanafunzi alienda moja kwa moja kwa mama yake na kumjuza juu ya tukio hili. Mzazi alitoa taarifa kwa kiongozi mmoja wa chama na kiongozi wa chama akaijuza serikali na serikali ikamtuma afisa elimu wa wilaya ya Nyamagana kutatua mgogoro huo.

Mwalimu aliohijwa ila alikana kabisa kuhusika na tukio hilo.

Kikao cha mkuu wa shule na walimu pia hakikuzaa matunda, mwalimu bado alikana kata kata kuhusika na tukio hilo.

Mkuu mpya wa shule alimuita mzazi wa binti huyo wakaongea nae kwa kumpoza ili suala liishe, na hakika kwa mzazi na mwanafunzi ni kama limeisha.

Timu ya afisa elimu wamesema watapeleleza zaidi kuufahamu ukweli.

HALI YA SASA YA MWALIMU ALIYETAKA KUBAKA

Tangu timu ya afisa elimu kusema watalifanyia uchunguzi, mwalimu ameonekana akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike akiwa na sura ya hofu kana kwamba kuna kitu anataka kuficha.

TUKIO HILI LILITOKEAJE?

Kwa ufupi walimu hao wawili ofisi yao ni maabara ambayo ina magrill na mapaazia mazito.

Mwanafunzi huyu aliitwa na mwalimu huyo kuchukua mtihani wake.

Mwanafunzi huyo alienda, mashuhuda wawili wanazidi kusimlia.

Mwanafunzi alipoingia, pazia lilishushwa. Gafla wakaskia kelele kama ugomvi, niache, niache. Dakika sio nyingi, vitu kama vinadondoka ndani, ndipo mwanafunzi akatoka akikimbia huku kashikilia sketi imechanika. Moja kwa moja akaenda nyumbani

Binti huyu anasema mwalimu huyu amekuwa akimtongoza tangu kidato cha kwanza.

MWALIMU MWINGINE

Mwalimu mwingine huyu, anaekaa maabara. Mwenye sifa kama mwalimu wa kwanza. Huwaita wanafunzi na kuwawekea mziki kwenye smart phone na wanafunzi kuanza kucheza.

Mara kadhaa huwashika makalio na matiti na baadhi yao huwapa miadi wakutane siku za Jumamosi au Jumapili.

MHANGA MMOJA ANASIMULIA

Mwanafunzi mmoja wa kike, form one alichukizwa na kitendo cha mwalimu huyu, alimshika matiti na makalio. Alienda na kusema kwa mzazi.

Mzazi alilipeleka kwa mkuu wa shule, kikao kiliwekwa na mwalimu alionywa ingawaje hakukubali kosa.

Mwanafunzi huyu kaandamwa sana na walimu hawa wawili kwa manyanyaso ya kijinsia hadi anaomba ahamishwe shule. Ni matusi kwake na kejeli . Kwamba, umeshtaki imesaidia nini? Kwani hujawai kufanya?

Inauma sana.

YUPO MWALIMU ALIWAHI KUOA MWANAFUNZI BUTIMBA

Yupo mwalimu, alimpiga mimba mwanafunzi akiwa form 3, wazazi walimlazimisha amuoe na mpaka sasa alimuoa na hakuna hatua ya kisheria iliyochukuliwa kwa mwalimu huyo.

MKUU WA SHULE ALIYEAMIA MKOLANI SEKONDARI ANAJUA HAYA.

Aliwahi kumshuhudia mwalimu wa kiume amemkumbatia mwanafunzi maabara kimapenzi ila hakufanya lolote.

KIKAO CHA WAZAZI JANUARI
Mkuu wa shule mpya aliitisha kikao januari, suala la uzinzi wa walimu lilisemwa, ila hakuna hatua stahiki zilizo chukuliwa.

Wenye mamlaka nendeni karejee minutes za kikao cha Januari cha wazazi mtajua.

WAZIRI WA ELIMU NA TAASISI HUSIKA

Hili limezidi, linawakwaza waalimu, sana sana wa kike. Kwasababu hakuna hatua stahiki zinazo chukuliwa.

Mkishindwa kazi zenu, tutawasaidia. Haiwezekani mabinti wanyanyaswe kingono wapumbavu nyie mpo.

Imagine anafanyiwa mwanao, utajisikiaje?

USHAURI
Ni kazi rahisi, TAKUKURU, wekeni mtego, mtawashika hawa wapumbavu wote asubuhi na mapema. Kuanzia mkuu wa shule anayelea mpaka hao walimu wanaoacha wake zao na kutafuna watoto.

Nawasilisha.

MREJESHO MUDA HUU( SAA 2 KAMILI)

Tumbo ni joto kwa mukulu wa kaya hapa kituoni(skuli butimba).

Naona mkulu anaita vitoto vyote vya kike shule kuviambia vifunguke. Viseme changamoto vinazopitia na ikiwezekana viwataje waalimu tunaokula wanafunzi.

Usijikoshe kijinga mkulu. Huo muda mbona unao siku nyingi sana?

Subiri rungu zito kabla ya jua leo kuzama.

Ushauri ninaoweza kukupa, wape karatasi wanafunzi waandike majina ya sisi waalimu tunaowakula, tofauti na hapo, najiandaa kuchukua kiti chako.

Kituo kimekushinda. Maana, rafiki yako mkubwa ndie anakuzunguka kwa ushauri wa kijinga.

Ona unavyohaha sasa.

Mshkuru mkuru wa kituo cha dodoma kukutonya. Ira ariyesanua hili usihangaike kumtafuta. Tupo kituo kimoja, hapa hapa.

Ukiweza, chukua simu ya kila mmoja utamjua mbaya wako.

YALIYOJIRI KWA UFUPI SIKU NZIMA SKULI

1. Wanafunzi wa kike andikeni majina ya walimu wenye tabia hizo mbovu. Usiandike jina ili tuwabaini.
Kuna matcha wametisha wametajwa na jinsia kee kama wote.( shoo ilismamiwa na mkulu wa skuli).

2. Afisa mwajiri mida mida akatimba.

Maelezo yakachkuliwa kwa mhanga. Nao mashahidi wakanyoosha maelezo. Mwishowe bhana, sket iliyochanika si ilishonwa nyumbani?

Kwaiyo ushahidi hakuna, ivyo kesi hakuna. Hahaha......

Hebu kwasasa niishie hapa. Ila waalimu wengi tumo humu wa butimba hadi twafahamiana kwa miandiko.

Acha nishibe nianze mtaja mmoja mmoja kwa id zenu. Maana akat mkuu katueka kikaangoni tulikana kutohusika.

Mungu anatuona. Tutalipwa ujira wetu.

YAANI MWANAFUNZI KUSHONA SKETI ILIYOCHANWA KATIKA TUKIO LA KUJARIBU KUBAKWA KAFUTA USHAHIDI?

NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE?

MREJESHO.....
Wapenz.....nawashwa kutoa list ya makx ambzo walim wenxang wamepat baad ya wanafnx wa kke kpewa kratas na kuandka majna yao....max ya juu ni (....) na ya xchn ni (mja).....

Niiek list .....nawash...nawashw...nawashaaaa mieeee.....fupa.....fupa.....buyu moto hliiiii.....kna xcheupe daw anaumia kuntafta mie nan.....nyoooo....mie nko naw ktuo kmoj....na kesh ntaknnlia xchai.....

CC::

KATIBU MWAJIRI WILAYA NY'GANA
AFISA ELIMU
Tumeshakujua
 
Walimu wa history ni waongo sana
 
Watu wa aina yenu ndiyo mnao sababidha maelfu ya walimu nchini kudharauliwa. Mwanzoni nilifikiri wewe ni mwalimu wa kike! Ila mwishoni nikagundua utakuwa na jinsia ya kiume, ila una tabia zote za kike.

Kiufupi tu wewe ni snitch! Na kama una ujasiri, na akili timamu; basi mshauri haraka huyo mkuu wako wa shule kuiboresha hiyo maabara yenu ili isiwe kichaka cha hao walimu kutengeneza mazingira ya ukaribu na baadhi ya wanafunzi wa jinsia ya kike.
 
Acheni mawazo ya kijinga wadau, haya mambo yapo sana sema hamna watoto wa kike na hata kama mnao hamjawahi kupatwa na dhahama za kutendwa kwa vijana wenu.

Mtoa mada awe mwalimu, mzazi au vyovyote vile amefanya jambo zuri maana kuna wazazi mna tabia za kishenzi sana, mkipewa 10,000 mnasawazisha kesi ilihali binti amepata jeraha la kudumu.

Shwain...
 
Haya mambo ni simple tu.... Ila yakija kukuta hauwezi amini.... Huko karagwe headmaster na second master walikuwa wakigombea dogo. Siku Moja second akiwa ofisini akila mzigo headmaster akaja kubana mlango. Akaita diwani, barozi, baadhi ya wajumbe wa bodi, raia na viongozi wengine. Mpaka Leo second ukimwona anaongea tu peke yake. Nadhani mnajua kilichotokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa unakuza mambo na kudharirisha wenzako. Mimi ni Mtumishi wa umma na katika harakati za maisha nishawahi fanya kazi ya ualimu.

Vitendo hivyo ni kweli vipo na vinavyofanywa na walimu na sio vizuri ila hapa unakuza kusema hao walimu wanaogopwa. Hakuna kitu kama hiko. Kama kuna ushahidi watakamatwa ila nionavyo unachoandika hapa ni Majungu.

Shuleni kuna Majungu sana na walimu wanawachomekeaga walimu wenzao kutembea na wanafunzi. Nimeona mara 2 kwenye shule tofauti haya mambo hususani pale mwalimu wa kiume akimtenda/kataa mwalimu wa kike wa shule hiyohiyo ndio hutengenezwa Majungu ya namna hiyo. Marafiki zangu wawili wameshawahi pitishwa kwenye Majungu ya namna hii japo mmoja Bwana Ramadhani ni alikuwa anatembea na mwanafunzi na alipowekewa mtego, jamaa akameza kondomu aliyoitumia akiogopa kula mvua 30.
Kheeeeeeeh alimeza condom? Afu ikawaje? [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ndugu Mwalimu Asante kwa Taarifa ila ilitakiwa ukatoe ushirikiano kwa vyombo husika kulileta huku inaweza kutafsiriwa kama majungu au kashfa kwaajili ya kuwachafua waalimu wenzako ukizingatia hadi sasa hakuna ushahidi wowote unaowaweka hatiani.

Au mnabifu binafsi? Maana waalimu mnachekeana usoni ila mnazomeana moyoni
kama mtoto wa Rais analiwa na Askari anayemlinda Rais.... sembuse mwalimu na mwanafnzi...
 
Back
Top Bottom