Walimu sita wanalazimika kufundisha zaidi ya Wanafunzi 700 Sekondari ya Mwabusalu-Meatu

Walimu sita wanalazimika kufundisha zaidi ya Wanafunzi 700 Sekondari ya Mwabusalu-Meatu

Hivi kufundisha nako ni kazi ngumu hadi mfikie hatua ya kutuandikia mabango marefu mkaweka na majjna yenu?

Mm nafyatua tofali 700 kwa siku peke yangu silalamiki. Ninyi watu 6 kuongea na watu 700 (wastani wa watu 100 kwa kila mtu) mnalalamika??

Hivi wewe mwalimu mleta mada na Ndugai nani msomi zaidi? Maana Ndugai alipendekeza muwe mnafundisha masomo hata 5.
 
Polesana mwalimu,ila nyie si ndiyo mlishiriki mchezo wa kihuni wa kuingiza madarakani serikali dhalimu na haramu kwa kuiba kura.Mliiba kura na hayo ndiyo malipo yake.Tunaimani watoto watamaliza shule bila wasiwasi wowote.

Shule ina watoto 730 Kila mtoto akichangia tsh 2000 kwa mwezi =1460000,hiyo inaweza kutosha kulipia walimu 7 200000 kwa mwezi .wahimizeni wazazi wachangie katika elimu la sivyo mtaumia

Mwalimu , serikali yoyote duniani iliyoingia madarakani kimagumashi haiwezi kutekeleza wajibu wake kwa raia,itakuwa Ni wazee wa takwimu .
 
Nimemuelewa vizuri lakini uhaba upo sehemu nyingi Sana serikalini Kuna vijiji ,kata hazina watendaji, kuna zahanati hazina manurse ,daktari n.k kwaio kuja na hoja za uhaba wa shule kila siku ndo napoona graduates waliosoma ualimu Ni watu waohisi Wana haki Sana ya kuajiriwa serikali kuliko watu wa kada zingine.
Sasa kwa nini umlaumu mleta mada, si uandike nawewe kuhusu mahitaji ya kada nyinginezo?
 
Sasa kwa nini umlaumu mleta mada, si uandike nawewe kuhusu mahitaji ya kada nyinginezo?
Au kama hataki kusikia habari za ualimu afanye kuignore huu uzi. Just simple like that...
 
Mbona hapo naona wamebalance kabisa, kilasomo lina mwalim, issue ni kujipanga vizuri darasa lote linafundishwa at once.
 
Back
Top Bottom