Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

Tupo wengi tu tuna nyumba na magari ya kutembelea ila mapesa mengi bank ndio hatuna ila za kubadilisha mboga trh 1 mpaka 30 sio shida,mpwayungu alitumbuliwa ndio maana ana hasira.
 
Ila ww muongo na hujui kudanganya yaani uwe na mil 100 bank halaf gari ya kutembelea noah kweli! Na aliekwambia noah ni gari ya kutembelea ni nani ! Hiyo ni gari ya kubebea maiti na madumu ya maji tu

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna viashiria vya uhalifu hapa... mwalimu umiliki 100m benki?
 

Labda kama za kuuza mashamba ya urithi.
 
Umetoa fungu la kumi mwalimu 10%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninachofahamu, maisha hayana formula. Unaweza ukawa Mbunge, na bado ukaja kuwa Lofa tu hapo baadaye. Na unaweza kuwa mwalimu, au mtu yeyote yule! na ukakutoboa pia.

Ni kujipanga tu.
Sio kujipanga tu mkuu,nakubarikiwa nako kupo wengi hujipanga lkn,hola...kuna mengi in between hapo all the way to success kuna majanga huingilia katikati mwa safari huathiri sana njia iendayo ktk mafanikio.kuna favour pia(neema)kati ya kumi dili linakudondokea ww,wenzio wenye the same qualifications wanakosa unapenya ww..huko mbeleni utasema ulitumia akili pengine kupata tenda flani akaachwa flani..kumbe nineema ilikudondokea tu.
 
Homgera mwl [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…