Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

Binafsi naona kazi ya ualimu,walimu wenyewe inabidi watumie nguvu kubwa kuhakikisha wanaotoboa tena sio kwa kutegemea mshahara labda wawe ni wako international skulz.

Mwalimu kutoboa inabidi awe na kakazi ka pembeni kanakomboost.

Hakuna kazi yoyote(ya kuajiriwa) inayoweza kukufanya utoboe bila kuwa na kazi ya pembeni.

Kaulize hata wabunge, mawaziri, na wanasiasa watakuambia hivi
 
We nae mbona unanuna bila sababu? Mtu pesa zake wewe unataka ushahidi upeleke Kwa Headmaster?

Asitufanye sisi mabwege humu ,mwalimu alisema mtu akikueleza jambo la kijinga kisha ukaliamini basi anakudharau,Sasa haiwezekani mtoa mada atuletee ndoto zake za alinacha humu na tuzikubali kizembezembe.
 
Kama kweli wewe ni mwalimu wa serikali na huna mume/mke au mtu wa kukulea na una zaidi ya 100M kwenye akaunti yako ya benki.
Naomba bank statement nikupongeze kwa 5M cash.
Na pia naomba financial report yako toka auditor otherwise ni chai kavu.

Hiyo ni Chai kavu kabisa mkuu,hawezi kufanya hivyo zaidi ya kukwambia wewe ni hater.
 
Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha.

1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)

Mpwayungu Village
Kazi kipimo cha utu (Lukosi, 2022)
Kikuyu huko ni uswahirini
 
Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha kupitia biashara ndogo ndogo ikiwemo kuuza vitafunwa katika migahawa minne karibu na shuleni kwangu hapa jijini Dodoma

1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)

Mpwayungu Village
Kazi kipimo cha utu (Lukosi, 2022)
Mwalimu mjasiriamali wa mfano
 
Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha kupitia biashara ndogo ndogo ikiwemo kuuza vitafunwa katika migahawa minne karibu na shuleni kwangu hapa jijini Dodoma

1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)

Mpwayungu Village
Kazi kipimo cha utu (Lukosi, 2022)
Hakuna aliyetoboa kimaisha harafu akawa anatumia zaidi ya masaa 45 kwa wiki zima kwenye kazi ambayo kipato chake hakifiki milion Moja kwa mwezi
 
Kwenye wengi pana mengi..walimu ni wengi sana hivo kuna wengi pia wenye maisha duni hivyo kuifanya jamii i generalize kuwa walimu wana maisha duni as compared to other professionals kumbe on the other hand kuna watumishi wana ukame siyo wa kawaida na hawaongelewi kwakuwa ni wachache.
 
Back
Top Bottom