A
Anonymous
Guest
Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita.
Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa.
Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii haraka.