KERO Walimu wa ajira mpya Babati hatujalipwa fedha za kujikimu kwa miezi mitano

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita.

Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa.

Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…