A
Anonymous
Guest
Pale Kibiti Boys Secondary School Mwalimu Mkuu na baadhi ya Walimu wao fimbo imekuwa ni njia ya malezi, hili suala imekuwa too much.
Kuna muda Wazazi na Walezi wa Wanafunzi wanaosoma hapo walitoa maoni ya kukerwa na jambo hilo lakini hakuna hatua zilizofanyika, kila kitu kinaendelea vilevile na wanaoumia zaidi ni Wanafunzi.