Walimu wa madrasa mna shida gani? Mbona mnautia matope dini ya haki na ukweli(uislamu)

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa kiafya.

Akitoa ushahidi mbele ya Hakimu wa Wilaya Mh. Rose Ngoka, kabla ya hukumu kutolewa mwanasheria wa Serikali na Mwendesha Mashtaka wa shauri hilo wilayani Lushoto Sylivia Mitanto, amesema mtuhumiwa alikuwa akimlawiti mara kwa mara mwanafunzi huyo ambaye alikuwa akikaa kwa bibi yake, baada ya wazazi wao kutengana.

Pia amesema Bibi wa mwanafunzi huyo alikuwa akifahamu kitendo hicho, anachofanya mwanaye kwa mtoto wa kaka yake, ndipo alipojitokeza msamaria mwema na kutoa taarifa kwa wanasheria.

Akifafanua zaidi bada ya taarifa hizo kufika katika Vyombo vya sheria mtuhumiwa alimuadhibu vibaya mwanafunzi huyo, kwa kuvujisha siri hadi shauri hilo lilipotolewa maamuzi, na kusababisha mwalimu huyo wa Madrasa kwenda Jela maisha katika Ngome Kuu ya Gereza la Maweni.
 
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa kiafya.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania
Alafu ujue sie hatupo serious kwenye haya mambo.
Hapa wataliban wangekuwa walishamaliza kila kitu. Hao mungu wao wa kweli kabisa kabisa.

Bibi alikuwa anajua kamute tuu. Usikute mama na mtoto walikuwa wanakulana pia kama sio kupeana tako kabisa
 
Washenzi wako kila sehemu mkuu, bila kujalisha dini gani.
 
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa kiafya.

Akitoa ushahidi mbele ya Hakimu wa Wilaya Mh. Rose Ngoka, kabla ya hukumu kutolewa mwanasheria wa Serikali na Mwendesha Mashtaka wa shauri hilo wilayani Lushoto Sylivia Mitanto, amesema mtuhumiwa alikuwa akimlawiti mara kwa mara mwanafunzi huyo ambaye alikuwa akikaa kwa bibi yake, baada ya wazazi wao kutengana.

Pia amesema Bibi wa mwanafunzi huyo alikuwa akifahamu kitendo hicho, anachofanya mwanaye kwa mtoto wa kaka yake, ndipo alipojitokeza msamaria mwema na kutoa taarifa kwa wanasheria.

Akifafanua zaidi bada ya taarifa hizo kufika katika Vyombo vya sheria mtuhumiwa alimuadhibu vibaya mwanafunzi huyo, kwa kuvujisha siri hadi shauri hilo lilipotolewa maamuzi, na kusababisha mwalimu huyo wa Madrasa kwenda Jela maisha katika Ngome Kuu ya Gereza la Maweni.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania
Aisee dini hizi!
 
Hilo ni tatizo au tabia ya mtu binafsi wala halina uhusiano kwa namna yoyote na taaluma yake.
Huko Moshi kuna padri aliwahi shitakiwa kwa kosa la kutaka kumbaka msichana aliyeenda kuungama dhambi badala ya kumsamehe dhambi akataka kumuingiza kwenye dhambi nyingine!
Huko mkoani Kagera maeneo ya Kamachumu kuna padri anashikiliwa kwa kesi ya mauaji ya albino!
Je ni sawa tuseme kwamba walichofanya mapadri hawa ndio tabia za mapadri wote?!
Narudia kusema "HAYO NI MAKOSA YA MTU BINAFSI NA HAYAHUSIANI KWA NAMNA YOYOTE NA MTU KUWA MWALIMU WA MADRASSA AU KUWA PADRI!".
 
Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa kiafya.

Akitoa ushahidi mbele ya Hakimu wa Wilaya Mh. Rose Ngoka, kabla ya hukumu kutolewa mwanasheria wa Serikali na Mwendesha Mashtaka wa shauri hilo wilayani Lushoto Sylivia Mitanto, amesema mtuhumiwa alikuwa akimlawiti mara kwa mara mwanafunzi huyo ambaye alikuwa akikaa kwa bibi yake, baada ya wazazi wao kutengana.

Pia amesema Bibi wa mwanafunzi huyo alikuwa akifahamu kitendo hicho, anachofanya mwanaye kwa mtoto wa kaka yake, ndipo alipojitokeza msamaria mwema na kutoa taarifa kwa wanasheria.

Akifafanua zaidi bada ya taarifa hizo kufika katika Vyombo vya sheria mtuhumiwa alimuadhibu vibaya mwanafunzi huyo, kwa kuvujisha siri hadi shauri hilo lilipotolewa maamuzi, na kusababisha mwalimu huyo wa Madrasa kwenda Jela maisha katika Ngome Kuu ya Gereza la Maweni.
Mchezo huo umetoka uarabuni.
 
Hilo ni tatizo au tabia ya mtu binafsi wala halina uhusiano kwa namna yoyote na taaluma yake.
Huko Moshi kuna padri aliwahi shitakiwa kwa kosa la kutaka kumbaka msichana aliyeenda kuungama dhambi badala ya kumsamehe dhambi akataka kumuingiza kwenye dhambi nyingine!
Huko mkoani Kagera maeneo ya Kamachumu kuna padri anashikiliwa kwa kesi ya mauaji ya albino!
Je ni sawa tuseme kwamba walichofanya mapadri hawa ndio tabia za mapadri wote?!
Narudia kusema "HAYO NI MAKOSA YA MTU BINAFSI NA HAYAHUSIANI KWA NAMNA YOYOTE NA MTU KUWA MWALIMU WA MADRASSA AU KUWA PADRI!".
Nakuona yakhee wajitetea yakhee all in all, according to the end of my think capacity Kuna kesi nyingi Sana za ma ustadh vs ulawiti ( vipo visa vingi Sanaa)
 
Back
Top Bottom