Walimu wa Shule ya Sekondari Ilala, kwanini mnauza notes kwa wanafunzi?

Walimu wa Shule ya Sekondari Ilala, kwanini mnauza notes kwa wanafunzi?

KAKA NASOKI

Senior Member
Joined
May 25, 2016
Posts
191
Reaction score
212
Walimu wa Biology na Chemistry wa Shule ya sekondari ya Ilala, kwanini mnawauzia wanafunzi notes badala ya kuwapa bure?

Wenyewe mnaita vitini mnauza Tsh. 200/= kwa 500/=, nyie mnatutia hasara wazazi kulipia kitu ambachoo mlitakiwa kuwapa bure na ni wajibu wenu kukuandika notes ubaoni ili wanafunzi wanakili.
 
Shule ya sekondari ya Ilala walimu wa Biology na Chemistry kwanini mnawauzia wanafunzi notes badala ya kuwapa bure? Wenyewe mnaita vitini mnauza shs 200/= kwa 500/=, nyie mnatutia hasara wazazi kulipia kitu ambachoo mlitakiwa kuwapa bure na ni wajibu wenu kukuandika notes ubaoni ili wanafunzi wanakili.
Kama hutak si unaacha mzaz gan ww unalalamikia Tsh 200 shame on you kaa nae kwako Sasa mfundishe mwenyewe
 
Kuna mtindo wa kuuza notes kwa wanafunzi wa Biology na Chemistry, wenyewe mnaita VITINI, kwa bei ya shs 200/= kwa shs 500/= acheni si uungwana.
 
Njia uliyotumia kutoa taarifa ni ndefu na kuna uwezekano lisiwafikiie kwa muda au muhusika sahihi

Vitu kama hivi ni wewe mzazi unaenda direct shuleni ili upate majibu muafaka .

Kama mzazi umenistua kidogo maana jambo sensitive kama hili kwa mwanao , huhitaji kuliwasilisha katika namna ya usiri
 
Kuna shule nyingine inaitwa MAJANI YA CHAI AIRPORT DAR walimu wa pale wanatabia yakuwalazimisha wanafunzi waende na 500 kila weekend ili wapewe notes ambazo mwalimu hatozifundisha darasani...
 
Walimu wa Biology na Chemistry wa Shule ya sekondari ya Ilala, kwanini mnawauzia wanafunzi notes badala ya kuwapa bure?

Wenyewe mnaita vitini mnauza Tsh. 200/= kwa 500/=, nyie mnatutia hasara wazazi kulipia kitu ambachoo mlitakiwa kuwapa bure na ni wajibu wenu kukuandika notes ubaoni ili wanafunzi wanakili.
Ndio kwani wewe unatakaje?

Mbona ukimtumia mtu pesa unakatwa tozo hulalamiki
 
Walimu wa Biology na Chemistry wa Shule ya sekondari ya Ilala, kwanini mnawauzia wanafunzi notes badala ya kuwapa bure?

Wenyewe mnaita vitini mnauza Tsh. 200/= kwa 500/=, nyie mnatutia hasara wazazi kulipia kitu ambachoo mlitakiwa kuwapa bure na ni wajibu wenu kukuandika notes ubaoni ili wanafunzi wanakili.
We jamaa bhana..Hivi umewahi kuviona vitabu vya Chemistry na bios serikali inavyogawa bure kwa mashule ya sekondari nchini? Vipo shallow balaa huwezi kujua Chemistry kupitiq vitabu vile bila kujiongeza.Niliviona kwa mwanangu wa form 3 Zanaki ikabidi nijiongeze kumpatia material zaid..wanachokifanya hao walimu si vibaya haiwezekani atumie gharama kuchimba nondo huko plus kuprint then agawe bure hata mimi ningeuza tu!!..Then mkuu wewe ni mzazi wa aina gani unalalamika 200 kwenye suala la kusomesha mtoto dah!,jaribu ujinga aisee elimu kumbe ghali sana kwako
 
Wanafunzi wa siku hizi wamekuwa delicate sana, mtoto anaenda twisheni mpaka ya history?

Hawatoroki shule kama zamani, yaani wamekuwa walaini sana.
 
Back
Top Bottom