Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Sasa watunga sera wako ndiyo wamepitisha hiyo sera. Tena ni watu wenye Ma PhD yao! Na mbaya zaidi watoto wao wanasoma kwenye shule binafsi kama FEZA zenye kila kitu!Kwa wanafunzi wetu huu mfumo hauwafai maana tutazalisha vilaza waliofaulu
Halafu watoto wa wanyonge ndiyo hawa ambao baadhi ya walimu wanajaribu kujiongeza ili kuwasaidia, wazazi nao kwa uelewa wao mdogo! wanakuja juu!