Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Tusitetee Ujinga..., Issue sio gharama ni kiasi gani bali issue ni contract before hand...
Kama mtu anakwenda Tuition hata akilipia milioni moja ni sawa sababu amenunua kile kitu kwa mapatano husika..., Mwalimu kufundisha darasani tayari ni complete contract kwamba anatoa na ujuzi sio kuanza kutoa kwa mafungu..., kama ni sawa kutoa Notes kwa Tshs. 200/= kwanini isiwe sawa kila extra swali analotoa au kusahihisha au kila akiulizwa swali akijibu asitoze Sumni ?
Kama hio tshs 200 ni gharama ya copy ni sawa ila atoe option ya ambao hawatoi hio pesa waweze kupata hizo notes ili wanakili wanavyotaka..., Hatuwezi kujipangia vitu nje ya Mkataba...
Lets be serious, Sikatai mtu kuziuza kwa wanafunzi baki au wa nje ila sio kwa wale ambao yupo contracted kuwafundisha.., na kama vipi itolewe option kwamba notes ni ziada ila sio zile core materials