Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mlongo😂😂😂😂😂tuition ya history bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlongo😂😂😂😂😂tuition ya history bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mtoto wa Kishua, umesoma EaglesTusitetee Ujinga..., Issue sio gharama ni kiasi gani bali issue ni contract before hand...
Kama mtu anakwenda Tuition hata akilipia milioni moja ni sawa sababu amenunua kile kitu kwa mapatano husika..., Mwalimu kufundisha darasani tayari ni complete contract kwamba anatoa na ujuzi sio kuanza kutoa kwa mafungu..., kama ni sawa kutoa Notes kwa Tshs. 200/= kwanini isiwe sawa kila extra swali analotoa au kusahihisha au kila akiulizwa swali akijibu asitoze Sumni ?
Kama hio tshs 200 ni gharama ya copy ni sawa ila atoe option ya ambao hawatoi hio pesa waweze kupata hizo notes ili wanakili wanavyotaka..., Hatuwezi kujipangia vitu nje ya Mkataba...
Lets be serious, Sikatai mtu kuziuza kwa wanafunzi baki au wa nje ila sio kwa wale ambao yupo contracted kuwafundisha.., na kama vipi itolewe option kwamba notes ni ziada ila sio zile core materials
Unaonekana ni beuty with brainWeeee Tena proudly nilifundishwa na mama Mchwampaka,yaani ukiingia kwenye Necta maswali yote unayajua unajiuliza aaah sa nifanye lipi Hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungemalizia na mbwa kabisa mzazi gani huyo anakwepa majukumu kiasi hiki?Kama hutak si unaacha mzaz gan ww unalalamikia Tsh 200 shame on you kaa nae kwako Sasa mfundishe mwenyewe
Nadhan ulilenga kuwadhalilisha walimu, kwa taratibu za mwalimu hupaswi kumuandikia mwanafunzi notes ubaoni, kama unaijua lesson plan haina kipengere kinachomtaka mwalimu aandike notes na Wala hana muda uliopangwa kwenye kipindi kumuandikia mwanafunzi notes... Notes mwanafunzi anapaswa ajitafutie mwenyewe. Niwapongeze walimu wenzangu kwa kujari na kujitoa kuwarahisishia wanafunzi kupata notes... Big up and keep it up teachers [emoji176][emoji176][emoji176][emoji39][emoji39][emoji849]Walimu wa Biology na Chemistry wa Shule ya sekondari ya Ilala, kwanini mnawauzia wanafunzi notes badala ya kuwapa bure?
Wenyewe mnaita vitini mnauza Tsh. 200/= kwa 500/=, nyie mnatutia hasara wazazi kulipia kitu ambachoo mlitakiwa kuwapa bure na ni wajibu wenu kukuandika notes ubaoni ili wanafunzi wanakili.
Si ndio hapo sasa.... Kwani Nani kamlazimisha... Ikiwa unaona elimu ni ghali Basi jaribu ujinga... Si ajabu ukakuta mtoto wake anasoma elimu bure ndio maana kutoa 200 au 500 anaona tatizoKama hutak si unaacha mzaz gan ww unalalamikia Tsh 200 shame on you kaa nae kwako Sasa mfundishe mwenyewe
Kumpa mtoto notes ni kumlisha kila kitu ? Hata Havard kuna handouts, na mwalimu kutoa vitu ili watu wafanye review na kukumbishia key notes ije kuwa shule ya sekondari..., Unajua ukimwambia kila mtu afanye note taking mwenyewe huenda muda ukatumika kuandika wakati unafundisha kuliko hata kusikiliza...., na huo muda wa kufanya discussions na wenzake ambao na wenyewe huenda wametoka kapa si ndio kujazana ujinga...,Usiwe mbishi kama hujui! Mfumo wa Elimu kwa sasa umebadilika kutoka content base (wa kumlisha mtoto kila kitu) na kuwa mfumo wa competence base! Mfumo huu wa sasa unamtaka mwanafunzi/wanafunzi kujitegemea zaidi kwa kutumia muda wake kwenye kujadili na wenzake, kujisomea, kuwasilisha mada mbalimbali zihusuzo mada wanazosoma, kuelewa zaidi kuliko kukariri, nk.
Kipindi cha dakika ngapi ? kwahio mwaka mzima ni mwenzo wa kufanya discussions ? kitu ambacho unashindwa kuelewa hizo notes ni part ya kufundisha wala sio the only tool, kwahio pamoja na yote hayo inabidi as a conclusion atoe muongozo wake na sio watu kujadiliana kumbuka hapa kuna masomo sio subjective...Siku hizi Mwalimu hatakiwi kufundisha muda wote awapo darasani na kutoa hizo notes! Badala yake anatakiwa kuwa muongozaji tu wa mijadala ya mada kutoka kwa wanafunzi. Anatakiwa kuwaweka wanafunzi katika makundi, wanajadili na mwisho wanawasilisha huo mjadala, kwisha!
Kama mwalimu kazi yake sio kufundisha vilaza / slow learners basi yupo kwenye wrong profession and so called usasa au mfumo mpya ni kupiga hatua nyuma wala sio maendeleoUkiona mwalimu anawapa watoto notes unatakiwa kimshukuru! Maana anawasaidia wale watoto vilaza/slow learners! Na siyo jukumu lake kumpa mtoto notes. Hilo ni jukumu la mtoto mwenyewe kujiandalia notes zake.
Huo ndiyo mfumo wa elimu kwa sasa. Yale mambo ya kumjazia mwanafunzi a notes ya kukariri, haupo tena. Ukiona mwalimu anatoa mpaka notes kupitia vitini, anatakiwa kupongezwa na kutiwa moyo. Maana huo utaratibu kwa sasa haupo.Kumpa mtoto notes ni kumlisha kila kitu ? Hata Havard kuna handouts, na mwalimu kutoa vitu ili watu wafanye review na kukumbishia key notes ije kuwa shule ya sekondari..., Unajua ukimwambia kila mtu afanye note taking mwenyewe huenda muda ukatumika kuandika wakati unafundisha kuliko hata kusikiliza...., na huo muda wa kufanya discussions na wenzake ambao na wenyewe huenda wametoka kapa si ndio kujazana ujinga...,
Kubadilisha mfumo au kubadilika kwa mfumo hakubadilishi nyenzo za kufundishia, na notes pia ni learning tool ambayo ni core wala sio extra
Kipindi cha dakika ngapi ? kwahio mwaka mzima ni mwenzo wa kufanya discussions ? kitu ambacho unashindwa kuelewa hizo notes ni part ya kufundisha wala sio the only tool, kwahio pamoja na yote hayo inabidi as a conclusion atoe muongozo wake na sio watu kujadiliana kumbuka hapa kuna masomo sio subjective...
Kumbuka mwalimu anatakiwa kutumia all tools at his/her disposal ili mwanafunzi aelewe (visual, auditory, and kinesthetic)
Kama mwalimu kazi yake sio kufundisha vilaza / slow learners basi yupo kwenye wrong profession and so called usasa au mfumo mpya ni kupiga hatua nyuma wala sio maendeleo
Mpumbavu sana huyo kengeKama hutak si unaacha mzaz gan ww unalalamikia Tsh 200 shame on you kaa nae kwako Sasa mfundishe mwenyewe
Na hadi yeye akatoa hizo notes kwa kuuza ni kwamba kaona kuna upungufu wa kile alichotoa (hio ziada inatakiwa) sasa swali linakuja hio ziada iwe monitized au hata kwa yule ambaye ataomba ile ziada aandike apewe anakili ? (Yaani kama ziada inatoka at no extra monetary cost on his part), kwa mimi mteja wake ambaye nahitaji anipe his all (kunipa part of the whole) huoni inaacha mwanya wa corruption...Huo ndiyo mfumo wa elimu kwa sasa. Yale mambo ya kumjazia mwanafunzi a notes ya kukariri, haupo tena. Ukiona mwalimu anatoa mpaka notes kupitia vitini, anatakiwa kupongezwa na kutiwa moyo. Maana huo utaratibu kwa sasa haupo.
Yeye kama yeye anaruhusiwa kuwa na notes zake, ambazo atazitumia kwenye kuhitimisha tu mada husika na iliyo jadiliwa na wanafunzi darasani.
Kusoma articles, unaambiwa imetoka jana itafuteNa hadi yeye akatoa hizo notes kwa kuuza ni kwamba kaona kuna upungufu wa kile alichotoa (hio ziada inatakiwa) sasa swali linakuja hio ziada iwe monitized au hata kwa yule ambaye ataomba ile ziada aandike apewe anakili ? (Yaani kama ziada inatoka at no extra monetary cost on his part), kwa mimi mteja wake ambaye nahitaji anipe his all (kunipa part of the whole) huoni inaacha mwanya wa corruption...
Yaani namwaga utilio alafu nasema ziada kanunue kitabu changu some page ya kumi na mbili..., Au kushinda paper yangu soma page ya tano... (Huku ni Kutoa Ujuzi kwa Mafungu)
wengi hawajui ilo wanazania mwalimu anatakiwa kutoa notes Kwa wanafunzi wake.Usiwe mbishi kama hujui! Mfumo wa Elimu kwa sasa umebadilika kutoka content base (wa kumlisha mtoto kila kitu) na kuwa mfumo wa competence base! Mfumo huu wa sasa unamtaka mwanafunzi/wanafunzi kujitegemea zaidi kwa kutumia muda wake kwenye kujadili na wenzake, kujisomea, kuwasilisha mada mbalimbali zihusuzo mada wanazosoma, kuelewa zaidi kuliko kukariri, nk.
Siku hizi Mwalimu hatakiwi kufundisha muda wote awapo darasani na kutoa hizo notes! Badala yake anatakiwa kuwa muongozaji tu wa mijadala ya mada kutoka kwa wanafunzi. Anatakiwa kuwaweka wanafunzi katika makundi, wanajadili na mwisho wanawasilisha huo mjadala, kwisha!
Ukiona mwalimu anawapa watoto notes unatakiwa kimshukuru! Maana anawasaidia wale watoto vilaza/slow learners! Na siyo jukumu lake kumpa mtoto notes. Hilo ni jukumu la mtoto mwenyewe kujiandalia notes zake.
Kwa wanafunzi wetu huu mfumo hauwafai maana tutazalisha vilaza waliofauluUsiwe mbishi kama hujui! Mfumo wa Elimu kwa sasa umebadilika kutoka content base (wa kumlisha mtoto kila kitu) na kuwa mfumo wa competence base! Mfumo huu wa sasa unamtaka mwanafunzi/wanafunzi kujitegemea zaidi kwa kutumia muda wake kwenye kujadili na wenzake, kujisomea, kuwasilisha mada mbalimbali zihusuzo mada wanazosoma, kuelewa zaidi kuliko kukariri, nk.
Siku hizi Mwalimu hatakiwi kufundisha muda wote awapo darasani na kutoa hizo notes! Badala yake anatakiwa kuwa muongozaji tu wa mijadala ya mada kutoka kwa wanafunzi. Anatakiwa kuwaweka wanafunzi katika makundi, wanajadili na mwisho wanawasilisha huo mjadala, kwisha!
Ukiona mwalimu anawapa watoto notes unatakiwa kimshukuru! Maana anawasaidia wale watoto vilaza/slow learners! Na siyo jukumu lake kumpa mtoto notes. Hilo ni jukumu la mtoto mwenyewe kujiandalia notes zake.
Mwanafunzi wa form 2? Hawajui library. Mi nilikua nasoma vitabu hata kama notes tuliandikiwaKwa wanafunzi wetu huu mfumo hauwafai maana tutazalisha vilaza waliofaulu