Walimu wa Shule ya Sekondari Ilala, kwanini mnauza notes kwa wanafunzi?

Wewe mtoto wa Kishua, umesoma Eagles
 
Ukiona ELIMU gharama
Jaribu Upumbav
No money No service
Elimu ya bure pekee ni maisha magumu baada ya kukimbia shule na huna plan B
 
Jukumu la msingi la mwalimu ni kufundisha sio kutoa notes. Katika ulimwengu wa sasa,Mwalimu anapaswa kuongoza mijadala darasani katika mchakato wa ujifunzaji na usundishaji na wanafunzi wajitengenezee notes zao wenyewe.
 
Usitupangie

Hayo ni kama marupurupu yetu mshahara hautoshi halafu binadamu bwana walalamikaji sana
 
Weeee Tena proudly nilifundishwa na mama Mchwampaka,yaani ukiingia kwenye Necta maswali yote unayajua unajiuliza aaah sa nifanye lipi Hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaonekana ni beuty with brain


Nikiwa mwalimu wa twishen nafarijika sana nikisoma hizi shuhuda za kufanikiwa za wanafunzi wetu warembo wapendwa
 
Nadhan ulilenga kuwadhalilisha walimu, kwa taratibu za mwalimu hupaswi kumuandikia mwanafunzi notes ubaoni, kama unaijua lesson plan haina kipengere kinachomtaka mwalimu aandike notes na Wala hana muda uliopangwa kwenye kipindi kumuandikia mwanafunzi notes... Notes mwanafunzi anapaswa ajitafutie mwenyewe. Niwapongeze walimu wenzangu kwa kujari na kujitoa kuwarahisishia wanafunzi kupata notes... Big up and keep it up teachers [emoji176][emoji176][emoji176][emoji39][emoji39][emoji849]
 
Kama hutak si unaacha mzaz gan ww unalalamikia Tsh 200 shame on you kaa nae kwako Sasa mfundishe mwenyewe
Si ndio hapo sasa.... Kwani Nani kamlazimisha... Ikiwa unaona elimu ni ghali Basi jaribu ujinga... Si ajabu ukakuta mtoto wake anasoma elimu bure ndio maana kutoa 200 au 500 anaona tatizo
 
Kumpa mtoto notes ni kumlisha kila kitu ? Hata Havard kuna handouts, na mwalimu kutoa vitu ili watu wafanye review na kukumbishia key notes ije kuwa shule ya sekondari..., Unajua ukimwambia kila mtu afanye note taking mwenyewe huenda muda ukatumika kuandika wakati unafundisha kuliko hata kusikiliza...., na huo muda wa kufanya discussions na wenzake ambao na wenyewe huenda wametoka kapa si ndio kujazana ujinga...,

Kubadilisha mfumo au kubadilika kwa mfumo hakubadilishi nyenzo za kufundishia, na notes pia ni learning tool ambayo ni core wala sio extra
Kipindi cha dakika ngapi ? kwahio mwaka mzima ni mwenzo wa kufanya discussions ? kitu ambacho unashindwa kuelewa hizo notes ni part ya kufundisha wala sio the only tool, kwahio pamoja na yote hayo inabidi as a conclusion atoe muongozo wake na sio watu kujadiliana kumbuka hapa kuna masomo sio subjective...

Kumbuka mwalimu anatakiwa kutumia all tools at his/her disposal ili mwanafunzi aelewe (visual, auditory, and kinesthetic)
Ukiona mwalimu anawapa watoto notes unatakiwa kimshukuru! Maana anawasaidia wale watoto vilaza/slow learners! Na siyo jukumu lake kumpa mtoto notes. Hilo ni jukumu la mtoto mwenyewe kujiandalia notes zake.
Kama mwalimu kazi yake sio kufundisha vilaza / slow learners basi yupo kwenye wrong profession and so called usasa au mfumo mpya ni kupiga hatua nyuma wala sio maendeleo
 
Wazazi tumefika huku??? MnalalamiKa 200 kweli???? We unafikiri kuandika ubaoni ni kazi ndogo??? Hujapata tb kwa lile vumbi la chaki.??? Kuweni na huruma basi nA walimu nyie wazazi wa mchongo.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Huo ndiyo mfumo wa elimu kwa sasa. Yale mambo ya kumjazia mwanafunzi a notes ya kukariri, haupo tena. Ukiona mwalimu anatoa mpaka notes kupitia vitini, anatakiwa kupongezwa na kutiwa moyo. Maana huo utaratibu kwa sasa haupo.

Yeye kama yeye anaruhusiwa kuwa na notes zake, ambazo atazitumia kwenye kuhitimisha tu mada husika na iliyo jadiliwa na wanafunzi darasani.
 
Na hadi yeye akatoa hizo notes kwa kuuza ni kwamba kaona kuna upungufu wa kile alichotoa (hio ziada inatakiwa) sasa swali linakuja hio ziada iwe monitized au hata kwa yule ambaye ataomba ile ziada aandike apewe anakili ? (Yaani kama ziada inatoka at no extra monetary cost on his part), kwa mimi mteja wake ambaye nahitaji anipe his all (kunipa part of the whole) huoni inaacha mwanya wa corruption...

Yaani namwaga utilio alafu nasema ziada kanunue kitabu changu some page ya kumi na mbili..., Au kushinda paper yangu soma page ya tano... (Huku ni Kutoa Ujuzi kwa Mafungu)
 
Kusoma articles, unaambiwa imetoka jana itafute
 
wengi hawajui ilo wanazania mwalimu anatakiwa kutoa notes Kwa wanafunzi wake.
 
Mzazi gani wewe wa ajabu hivi. Bure itawauwa nyinyi
 
Nisivyopenda andika enzi hizo za JK wangeanza uza ningenunua bila kupepesa macho
 
Kwa wanafunzi wetu huu mfumo hauwafai maana tutazalisha vilaza waliofaulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…