Walimu wa Tanzania na passive resistance

Bachelor OG

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
878
Reaction score
1,195
Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa haraka kwa watu wenye akili ndogo

Walimu wa Tanzania ni kama wapo katika passive resistance na mgomo baridi now day hawajitoi saana kwenye masuala ya kufundisha

Tunaona walimu wanoko wamepotea kabisa. Walimu wafia shule hawapo siku hizi

Hakuna tution za walimu(tuisheni nyingi siku hizi wanafundisha vijana waliomaliza form six na vyuo)

Walimu wameamua kufanya kazi yao kama sehemu tu ya kupata mitaji na kuwa busy na biashara zao

Wale walimu wakali wametoweka kabisa (now day hawataki kuhangaika na mtoto wa mtu ufanye zoezi usifanye utajijua)

Walimu ambao wanafundisha shule binafsi wakiajiriwa serikalini ni kama wanafika na kustaafu(hawajitoi kwa chochote nguvu yote walimalizia huko shule binafsi)

Now day wanafundisha ili kumaliza muda wa vipindi tu sio kwa ajiri mwanafunzi aelewe UKIELEWA SAWA USIPOELEWA UTAJIJUA

Naandika haya nikiwa nimezunguka shule kadhaa na kuongea na baadhi ya walimu shule nilizofika
Mwanza
•Pasiansi sec
•Ilemela sec
•Buhongwa sec

Kigoma
•Katubuka sec
•Mlole sec (shule ya serikali inayofanya vizuri)
•Mwandiga sec (ilikuwa inafanya vzr way back now ipo hoi)
•Gungu sec (hii ndio vituko kabisa Academic wake kuanzia saa 9 mchana anakuwa bodaboda)

Morogoro
•Mgeta sec
•Rondo sec

Ni muda sasa serikali iangalie namna bora ya Kuboreshe maslahi ya walimu iachane na msemo wa kuwa UALIMU NI WITO ili kuokoa sekta ya ELIMU NCHINI
 
Siyo tu Walimu,hata serikali nayo mpango wake ni huohuo (ALIYE TUMWA KUSOMA ASOME VILEVILE ALIYEENDA KUKUA NAYE AKULIE SHULENI) baadae akawe mpiga kura.
 
Siyo tu Walimu,hata serikali nayo mpango wake ni huohuo (ALIYE TUMWA KUSOMA ASOME VILEVILE ALIYEENDA KUKUA N
 
Tuition zilipigwa Marufuku na serikali, siyo kwamba walimu hawataki kufundisha muda wa ziada.

Kama madaktari wanaenda private baada ya kutoka hospitali za serikali unadhani walimu wasingependa kufundisha tuition baada ya muda wa kazi za serikali au siku za mapumziko kama jumamosi na jumapili?

Wanapenda lakini katazo la serikali yao ambaye ndiye muajiri wao.
 
Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa haraka kwa watu wenye akili ndogo

Walimu wa Tanzania ni kama wapo katika passive resistance na mgomo baridi now day hawajitoi saana kwenye masuala ya kufundisha

Tunaona walimu wanoko wamepotea kabisa. Walimu wafia shule hawapo siku hizi

Hakuna tution za walimu(tuisheni nyingi siku hizi wanafundisha vijana waliomaliza form six na vyuo)

Walimu wameamua kufanya kazi yao kama sehemu tu ya kupata mitaji na kuwa busy na biashara zao

Wale walimu wakali wametoweka kabisa (now day hawataki kuhangaika na mtoto wa mtu ufanye zoezi usifanye utajijua)

Walimu ambao wanafundisha shule binafsi wakiajiriwa serikalini ni kama wanafika na kustaafu(hawajitoi kwa chochote nguvu yote walimalizia huko shule binafsi)

Now day wanafundisha ili kumaliza muda wa vipindi tu sio kwa ajiri mwanafunzi aelewe UKIELEWA SAWA USIPOELEWA UTAJIJUA

Naandika haya nikiwa nimezunguka shule kadhaa na kuongea na baadhi ya walimu shule nilizofika
Mwanza
•Pasiansi sec
•Ilemela sec
•Buhongwa sec

Kigoma
•Katubuka sec
•Mlole sec (shule ya serikali inayofanya vizuri)
•Mwandiga sec (ilikuwa inafanya vzr way back now ipo hoi)
•Gungu sec (hii ndio vituko kabisa Academic wake kuanzia saa 9 mchana anakuwa bodaboda)

Morogoro
•Mgeta sec
•Rondo sec

Ni muda sasa serikali iangalie namna bora ya Kuboreshe maslahi ya walimu iachane na msemo wa kuwa UALIMU NI WITO ili kuokoa sekta ya ELIMU NCHINI
Hizo ni fijkra zako potofu tu.

Usifanye wakapewa "passive dose".

Umesahau mgomo wa madaktari ulimalizwa vipi?
 
Wamesha chukua fomu ya “mitano tena” kazi iendelee…
 
pamoja na kutojitoa kwao ila ufaulu umeongezeka tofauti na zaman, ziro zimepungua na Division 1,2 ziko nyingi sana shule za kata wakata zaman hizo zikipatikana kwa wingi shule binafs ila sasa hiv hata katani zipo za kumwaga,
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom