Walimu wa Tanzania na passive resistance

Walimu wa Tanzania na passive resistance

Hizo ni fijra zako potofu tu.

Usifanye wakapewa "passive dose".

Umesahau mgomo wa dakatari ulimalizwa vipi?
Kuna ajuza kule X wenzake wakikosea spelling..huwa anahoji Kwa kiburi...Hivi Shule mlienda kusomea ujinga?!😁😁
 
Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa haraka kwa watu wenye akili ndogo

Walimu wa Tanzania ni kama wapo katika passive resistance na mgomo baridi now day hawajitoi saana kwenye masuala ya kufundisha

Tunaona walimu wanoko wamepotea kabisa. Walimu wafia shule hawapo siku hizi

Hakuna tution za walimu(tuisheni nyingi siku hizi wanafundisha vijana waliomaliza form six na vyuo)

Walimu wameamua kufanya kazi yao kama sehemu tu ya kupata mitaji na kuwa busy na biashara zao

Wale walimu wakali wametoweka kabisa (now day hawataki kuhangaika na mtoto wa mtu ufanye zoezi usifanye utajijua)

Walimu ambao wanafundisha shule binafsi wakiajiriwa serikalini ni kama wanafika na kustaafu(hawajitoi kwa chochote nguvu yote walimalizia huko shule binafsi)

Now day wanafundisha ili kumaliza muda wa vipindi tu sio kwa ajiri mwanafunzi aelewe UKIELEWA SAWA USIPOELEWA UTAJIJUA

Naandika haya nikiwa nimezunguka shule kadhaa na kuongea na baadhi ya walimu shule nilizofika
Mwanza
•Pasiansi sec
•Ilemela sec
•Buhongwa sec

Kigoma
•Katubuka sec
•Mlole sec (shule ya serikali inayofanya vizuri)
•Mwandiga sec (ilikuwa inafanya vzr way back now ipo hoi)
•Gungu sec (hii ndio vituko kabisa Academic wake kuanzia saa 9 mchana anakuwa bodaboda)

Morogoro
•Mgeta sec
•Rondo sec

Ni muda sasa serikali iangalie namna bora ya Kuboreshe maslahi ya walimu iachane na msemo wa kuwa UALIMU NI WITO ili kuokoa sekta ya ELIMU NCHINI
Mtoa mada upo serious kweli? Nan ahangaike na ma teacher.
 
Kama sio kichaa ni nini?. Kwa kikokotoo hiki kila mtu afe na shida zake.
 
Back
Top Bottom